shida ni kwamba ukisomea ualimu hauwezi kujiajiri, kwanini labda usiangalie kitu kingine cha kusomea mdogo wetu, au lengo ni kuwa na degree, em soma vizuri guidebook.
Ajira za mwaka huu zioizopita,ilikua kama wewe siyo sayansi,mwisho kuchukua ilikua 2016,2017 ni wachache.
Kaa ufikirie,utaajiriwa mwaka gani,umshirikishe na mzazi au mlezi wako kabisa,kua unakuja kwenye msululu mrefu wa wadau.
Dodoma kipo, Dom kuzuri tu, nyepesi waliosomea pale wengi wanapenya sehemu fulani uliza wajuzi, nimekutonya kwa huruma tu, ukitaka chukua au potezea tu.Udom haipo -DSM
Tena hapa ndo wamechukua wengi, na chemistry, mi Shem wangu kapenya kasoma udom makitu hayohayo, yupo singida.kamaliza 2021,.Vp kwa physics na math?
angetafuta ujuzi veta, akajiendeleze baadayeKujiajiri/kuajiriwa ni swala mtambuka sana.
Wapo walosoma ualimu wapo kazini wakati huo walosom MD, Enginer ,IT wapo mtaani.
Soko la ajira ni very dynamic hivyo ni ngumu kubet .
Mpwayungu Village msemaji wa walimu wa wote wa hapa jf na Tanzania nzima njoo hapa utoe mwongozoWakuu habari zenu.
Naomba msaada kujua chuo gani kizuri kwa kusomea ualimu kwa ngazi ya degree kwa mkoa wa Dar es salaam.
Natanguliza shukran [emoji120][emoji120].
Umasikini wako usiugeneralize Kwa woteUmeamua kusomea umasikini?
Hiyo ada kwanini usitafute Chocho ukaanzishe biashara zako. Wenzio tulipoteza sana muda chuo. Saizi tungekua mbali
Ualimu wa kitu gani?Wakuu habari zenu.
Naomba msaada kujua chuo gani kizuri kwa kusomea ualimu kwa ngazi ya degree kwa mkoa wa Dar es salaam.
Natanguliza shukran [emoji120][emoji120].
Watoto wa wamiliki wa shule binafsi wanasoma kwa taarifa yako wawe walimu na viongozi kwenye shule zaoKuna watu bado wanasomea uticha hapa tz....pole sn mwanazengo
Tafuta chuo kinaitwa Mpwayungu Village hiki ndicho chuo bora zaidi.Wakuu habari zenu.
Naomba msaada kujua chuo gani kizuri kwa kusomea ualimu kwa ngazi ya degree kwa mkoa wa Dar es salaam.
Natanguliza shukran [emoji120][emoji120].