Chuo cha Utumishi Mtwara: Ufuska, ngono, uchangudoa na uchafu mtupu


Kwa hiyo kwako wewe, huwezi kubaka kwa vile unaogopa sheria.
Ila unaweza kununua ngono kwa vile sheria ya kuzuia biashara ya ngono labda haipo au haina nguvu, si ndio?
It is being naive na nikujiendekeza tamaa zako za mwili, ni uchovu wa akili na kukosa ujasiri, unapo-conclude kuwa mwanaume hawezi kumkataa mwanamke. Urijali ni pamoja na ujasiri wa kupambana na tamaa za ngono, sio kupigisha pigisha tu fimbo yako.

Bado msimamo wangu ni kuwa hao wasichana wanaouza miili pamoja na wanaume wanaonunua wote wanatakiwa kulaumiwa. Nchi za wenzetu, ukikamatwa unanunua ngono nje ya eneo linalohusika, wote mnapelekwa kortini. Na nchi zingine, ni marufuku kabisa suala la kuuza mwili kwa ajili ya ngono. Ningekusifia ungekuwa unapendekeza kuwa sheria ziongozewe nguvu zaidi kuwazuia wanunuaji na wauzaji. Kuuza bangi na kununua bangi, yote ni makosa. Sasa iweje kuuza ngono ndio kosa saana halafu eti mnunuaji hana kosa na asilaumiwe?... holy crap!
 
Hii thread imenifanya niwaze mambo mengi: 1) Nilifikiri elimu humfanya mtu kuondokana na mambo ya kipuuzi kumbe sivyo 2) Hivi wanavyuo wa vyuo vingine vya Afrika mashariki nao wana tabia kama hizi au wa Tanzania wana mambo yao ya kipekee?

Kuna Wazazi walikuwa ( sijui bado mpaka sasa ) wanawapeleka watoto wao Uganda,
ukisikia habari zao utasikitika.
 
Hapo kwenye Red si useme tuu ni wewe ndo yalikukuta? Yanini kumsingizia huyo jamaa?
 
Mkuu anaepiga kelele ni mwanamme au mwanamke? kwa nini? sikaelewa
 
Du afadhali mi naishi huko Mtwara kwa kweli kulikuwa na ukame sana wa mademu watoto wakimakonde hawako sharp wala nini ngoja nikirudi kubeba box nikamate hao wakuja kama 4 hivi kwa mpigo.

wamakonde wanavaa shanga balaa ndugu
 
Haohao mwisho wa picha wanakuja kutafuta wanaume kwenye mitandao na vigezo kibao kumbe kababuliwa Ile mbaya.
 
Hii thread imenifanya niwaze mambo mengi: 1) Nilifikiri elimu humfanya mtu kuondokana na mambo ya kipuuzi kumbe sivyo 2) Hivi wanavyuo wa vyuo vingine vya Afrika mashariki nao wana tabia kama hizi au wa Tanzania wana mambo yao ya kipekee?
Nimejifunza kitu mkuu usije ukajaribu kuoa msomi itakula kwako
 
Ukisikia nimetembelea mikoa ya kusini hapo lazima nifike ni kama Mbuga ya wanyama japo huwezi kula nyamapori wote angalau kuangalia inapendeza macho.
 
Yaani hawa dada zetu wanatia kinyaa kabisa,sio mtwara pekee,nenda mabibo hostel uone sodoma na gomola live..watoto wanajiuza kweupeee aibu tupu,ndo maana mababu zetu walichelea kusomesha hii jinsia.
Wanajiuzia maeneo gani pale mabibo?muda gani?
 
Kwa Braza yusuf a.k.a braza y pana wamakonde kibao....mtwara kuchele aisee maeneo ya pale cesi pub enzi hizo palikuwa pamechangamka sana kwa watoto ila wanafunzi wa utumishi wanaponzwa na njaa sana
 
Saut mwanza ndo sheeeeda watu wanaenda adi geita uko mgodini kujiuza yaniii nikufuru,nakule mgodini ni fire tu kunawasukuma wazee wa 1.yakuongelea tu nakupa laki 2.nauli laki3.game laki 2.studee akitoka geita GGM anapesa haipungui million coz atatembea mtu kibao. Basha wake wa chuo anakalia kubet mikeka tu nayo skuizi inachanika tuuu
 
Ukiondoa kwa Brother Y.... nieneo gani lingine nawezapata ngozi za kimakonde kule Mtwara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…