muke ya muyahudi
JF-Expert Member
- Jan 31, 2014
- 399
- 179
- Thread starter
-
- #21
nimepita chuo cha udom Leo nilikuwa namishe zangu, dah nilikuta pale main administration scene ya ajabu sana yan mwamwanafunzi aliingia akiwa amevaa yale masuruali mapanaa jaman, kuna wadada pale reception walimuanzishia na ma askari juu wanamlazimisha atoke nje asihudumiwe. .nikasema ngoja nione movie. .yule dada alifanikiwa kufika mpaka anapohitaji ..basi huku chini wakaitwa maaskari na watu kadhaa wakazuie asihudumiwe. .ikabidi a shush we na escot!inavyoonekana yule dada anajua haki zake pia alikomaa sana aachiwe apate huduma kwani alichovaa hakipo nje ya code za umma, aisee sijui iliishiaje ila yule dada anilimuacha nje analia kwa hasira mno! nikabidi nimpe tuu moyo ila nikasema hiki sio chuo inavyponekana hata watu wanaoajiriwa pale wengine sio professional at all..sababu kuna time alikuwa akiwajibu kingereza wanamuambia unajifanya msomi[emoji13] dah kwa hii mambo elimu ya bongo tutasubiri sanaa sikutegemea chuo kikubwa kama kile kiwe kina mambo za ajabu vile ila scene ilinigusa mno. .,nb:inawezekana sio wote ila kwa nilivyosikia sio mara ya kwanza wateja kudharilishwa pale na uongozi unalifumbia macho !kuna shida kubwa katika sekta za elimu bongo. .Acha nisubiri kwanza ntasomea nje my second degree
wewe babu zero kazi kuwaza sketi tuu na hyo degree ilivyokuuma sasaa hahahhh ulitumwa kuishia la 7?maana mwenzako naionea aibu hiko kidegree kimoja!wewe kinakutoa roho ...babu jiii[emoji23]Degree my foot!!!
Kwa uandishi huu, labda digrii ya kuvuana sketi.
Si ndio anataka akasomee nje ili ku improve na uwezo wa uandishi we vipi? Si ndio maana ameshtukia elimu yenu ya kuokotea maembe..Utasomea nje second degree... unataka kutuambia kwa uandishi huu umeshapata au unasomea first degree??? Unasoma/ulisoma chuo gani??
ELIMU, ELIMU, ELIMU!!
Utasomea nje second degree... unataka kutuambia kwa uandishi huu umeshapata au unasomea first degree??? Unasoma/ulisoma chuo gani??
ELIMU, ELIMU, ELIMU!!
Sasa wewe una point gani hapo?Yani kwa uandishi tu sidhani hata darasa la saba ulimaliza.Halafu unajinadi eti degree ya pili ukasome nje.Uwiiii degree ya pili au darasa la pili?kama ability yako ya ku analyse vtu ipo below 10%huwez kuelewa hapo udom imeingiaje, kwahyo wew unaona suruali ndio ishu hapo nitokee hapa Huna point piga kimya nenda Mmu huko ndio size yako
yeye mwenyewe ya kuokotea mikojo kabisa. ..mlivyokazania uandishi itadhania mmeambiwa nimesomea muandiko. .alafu jaman hii mada ni kwa watu timamu tuu na waliosoma vyuo vya kueleweka plzz kama unaona nyotanyota hapo pita utapofuka bureSi ndio anataka akasomee nje ili ku improve na uwezo wa uandishi we vipi? Si ndio maana ameshtukia elimu yenu ya kuokotea maembe..
haishiki mwiliMasuruali mapanaa ndio yakoje???
Hakuna chuo cha nje kinachoweza kuwa na mwanafunzi wa aina hii... Labda Kampala International University tawi la Kwa Mtogole.Si ndio anataka akasomee nje ili ku improve na uwezo wa uandishi we vipi? Si ndio maana ameshtukia elimu yenu ya kuokotea maembe..
Mgaya hajanifundisha hahaha nilikuwa udbs nd told u sijasomea uandishi nd sipo exam room hapa kwendraa aliekuambia Mgaya ni mwalim wa wote kakudanganya hahhhhhhahh udsm tupo juu sio kwa watu kujivika joho hvyoMtoa post umetudhalilisha wana Udsm tuombe msamaha kwa uandishi huo.
Sidhani kama Profesa Yunus Mgaya na Profesa Makenya Maboko walitufundisha hivi.
Kama baba yako ana degree, usishangae kuwa mi ni mwalimu wake. Ningekuwa mwalimu wako wewe ungeishia semester ya kwanza, mwaka wa kwanza.wewe babu zero kazi kuwaza sketi tuu na hyo degree ilivyokuuma sasaa hahahhh ulitumwa kuishia la 7?maana mwenzako naionea aibu hiko kidegree kimoja!wewe kinakutoa roho ...babu jiii[emoji23]
Mkuu sidhani kweli Dr Lucy Mboma na Dr Mbura ndo walikufundisha ? Dr Mbamba akikuona anaweza kufutia shahada yako usifanye hivyo tena.bcom marketing 2009
UDSM hawawezi kudahili mwanafunzi wa aina yako....umalaya ulivyouzoea huamini kama kuna maisha tofauti na hayo masikini zee zima hvyo. .ulivyokazania uandishi wewe unaeandika vyupi kwa kila post unaona unaandika vya chuo?We baba hahahh
wala hakuna shule ingeweza kuwa na mwanafunzi muwaza ngono kama wewe!no wonder uliishia chekechea ukaendelea na elimu yako ya ngonoHakuna chuo cha nje kinachoweza kuwa na mwanafunzi wa aina hii... Labda Kampala International University tawi la Kwa Mtogole.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ungekuwa umefika hata sekondari shoga angu ungeelewa maana ya degree. .Ila 7bu haukufika uliishia kujifunza kusoma na kuandika lazima ugande hapohapo haya ngja nikuache ugandiepo ndio uwezo wako nao ulipoishia hapo kusikia degree roho yakuuma unatamani kujichinjaSasa wewe una point gani hapo?Yani kwa uandishi tu sidhani hata darasa la saba ulimaliza.Halafu unajinadi eti degree ya pili ukasome nje.Uwiiii degree ya pili au darasa la pili?
Mkuu wewe unazidi kutudhalilisha wanazuoni Wa UDSM haiwezekani unaeleza kama sio manager bana umetuudhi sana managers wa UdbsMgaya hajanifundisha hahaha nilikuwa udbs nd told u sijasomea uandishi nd sipo exam room hapa kwendraa aliekuambia Mgaya ni mwalim wa wote kakudanganya hahhhhhhahh udsm tupo juu sio kwa watu kujivika joho hvyo
bwana wee embu nitokee huko kaendelee na shule yako ya ngono sipo hapa kubishana na mtu ka wewe mimiUDSM hawawezi kudahili mwanafunzi wa aina yako....
[emoji23][emoji13] mara hii ushakuwa manager tena maskni see u when u wake upMkuu wewe unazidi kutudhalilisha wanazuoni Wa UDSM haiwezekani unaeleza kama sio manager bana umetuudhi sana managers wa Udbs