Ndugu zangu kwa nia njema kabisa naomba vilipo vyuo vya kuchukulia mafunzo ya u sheikh au hata u ustaadh au u maulamaa.
Natanguliza shukrani povu sitaki

Hakuna sehemu wanapo fundisha usheikh usheikh ni cheo cha heshima kwa mtu yoyote yule ustaadhi na maulamaa kama hupo dar vipo vingi sana tu kumbuka ukiwa na elimu kubwa ya dini unaitwa mwanazuoni

Angalau wewe umenipa mwanga. Wengi wetu kumbe tunaitana sheikh tu bila kujua u sheikh unanunuliwa au kusomewa kumbe ni cheo cha heshma kama vile mstahiki au mhasham
Ndugu zangu kwa nia njema kabisa naomba vilipo vyuo vya kuchukulia mafunzo ya u sheikh au hata u ustaadh au u maulamaa.
Natanguliza shukrani povu sitaki
Angalau wewe umenipa mwanga. Wengi wetu kumbe tunaitana sheikh tu bila kujua u sheikh unanunuliwa au kusomewa kumbe ni cheo cha heshma kama vile mstahiki au mhasham
Sawasawa nilikua najiuliza sana. Kama sheikh ni cheo cha kidini iweje wengi ni washenzi tu hawafuati maadili ya kidini. Kumbe hata mimi naweza kujiita sheikh Deceiver.
Nafunga mjadala