Chuo cha DIT kurusha Satellite yao mwakani 2026

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,349
Reaction score
2,757
​

Taasisi ya Teknolojia Dar es salaam (DIT), ina mpango wa kurusha satellite πŸ“‘ yake ya kwanza angani ikiwa ni hatua inayotokana na kuongezeka kwa ujuzi , ubunifu na Teknolojia.

Chuo cha DIT kilianzia mpango huo Toka mwaka 2024 ambapo kiliweza kuingia mkataba na chuo kikuu cha RUDN Toka Urusi mpango huo huko kwenye hatua nzuri Sasa.

​

Mpaka kufikia mwaka 2026 agosti basi Chuo cha DIT kitaweza kurusha satellite yake ya kwanza angani na ndo Itakua satellite ya kwanza kurushwa nchini Tanzania.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Cheka Taratibu Sasa Wale October Tunatiki Wasikuone
Ila Huo Mwaka CCM Haitakuwepo Madarakani
Hivyo Satellite Hivyo Itaruka Ndani Ya Utawala Mpya
 

Kwa budget ipi?

Danganyeni wasiojielewa.
 
Sawa ngoja tusubirie hiyo mwakani

Ova
 
Ni jambo jema sana kwa nchi kama tuna wataalamu waliofikia hatua hiyo
 
Cheka Taratibu Sasa Wale October Tunatiki Wasikuone
Ila Huo Mwaka CCM Haitakuwepo Madarakani
Hivyo Satellite Hivyo Itaruka Ndani Ya Utawala Mpya
Wee em sema kwelii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…