babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,644
- 3,288
Wakuu serikali iliweka wazi kuwa gharama za juu za udahili kwa kila chuo ni 10,000 Tsh kwa degree program lakini hili limekuwa ni tofauti kwa taasisi kama ya DIT.
DIT wao wameamua kuweka gharama ya udahili kwa mwanafunzi wa degree ya kwanza Tsh 30000, mara tatu zaidi ya gharama iliyowekwa na serikali. Kuna haja serikali ikapitia hizi gharama katika kila chuo nadhani sio DIT peke yake wanaotoza gharama za juu tofauti na maelekezo ya serikali kupitia wizara ya Elimu.