Chunya: Walimu wanne wanaswa wakibaka wanafunzi Ofisini

Chunya: Walimu wanne wanaswa wakibaka wanafunzi Ofisini

Halafu baadae,utasikia eti wanafunzi waliozaa warudi shule,walimu wa siku hizi ni maboksi kabisa...wanafuzi ndio usiseme wamekuwa kuliko wazazi wao.
 
Kama una ndugu kama mume wa Coletha aka Mary naomba unipasie nahitaji mume kama huyo hapa bongo naweza kumlipa hata mshahara kwa kuwa mume type ile...sio nyie vibwengo wengine mnatuzeesha kwa stress bora sisi tuwazeeshe nyie
Mama mkwe (kopa) mbna kanyoosha mkono wa marry. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hilo la kuijua kazi yake kama nimedhamiria kuwa nae halitochukua siku tatu nitakuwa nimeshajua either kwa kutaja yeye mwenyewe kwa hiyari yake au kwa kuijua mimi bila yeye kujua kama nimejua kazi yake.
Sema kweli... Utajuaje Sasa..
 
natamani kuwa mwalimu aisee...












Ili nifundishe kwa weledi na kukemea vitendo kama hivi kwa watoto wa kike. Bikra zinapotea, nidhamu inaisha, binti anamaliza form 4 anaburuza nyonyo kifuani kwake.
Kumbe chanzo ni mwalimu😒😒
 
Ila wale wa shule ya msingi wamezidi jamani khaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama wachimba chumvi.....
Angalau wa secondary kidogo
Hizo nyingine story, kwa hali ilivyo kwa sasa hata hao walimu wa msingi wana unafuu wa maisha hali ni tete kitaa
 
Mi nafikiri tukiacha mambo mengine, walimu wanasumbuliwa sana na stress za maisha. Nadhani hii inawafanya kujikatia tamaa na kuona kitu pekee wanachoweza kufanya ni kutafuna hivyo vitoto. Maana ukijaribu kuangalia mazingira yao ya kazi, ugumu wa kazi yenyewe, mishahara wanayolipwa yaani ni stress tupu.
Hivi mwalimu anakipato kidogo kuliko secretary? Kuliko mtumishi wa masjala? Kuliko dereva bodaboda? ,binafsi nionavyo ukiwagawa watanzania makundi mawili wenye nafuu ya maisha na wenye hali ngumu walimu wataangukia upande wa wenye unafuu wa maisha, ila nashindwa kuelewa kila zikitajwa hoja za watu wenye hali ngumu hatajwi muuza mboga,bodaboda,mmachinga anatajwa mwalimu
 
hili swala linakua gumu sana jinsi muda unvyokwenda nadhani ni kwa sababu ya kuwa linabase katika pande zote mbili, mtoto wa kike anapenda favour anajilegeza anapenda vitu vikubwa ambavyo vipo juu ya uwezo wake, anakutana na mwalim mroho wanazama penzini,,, haya yapo sana! watoto wenyewe wanaona kawaida, fanya tafiti vitoto vya form three sahivi haviwezi kukusalimia kama kaka yao, yaan wana zile hofu wanaona mpo rika moja kukupa salam nafsi inamsuta kuwa mnalingana, jamii yetu inatisha!
 
Kuna ngoma moja ya john lennon inaitwa nobody told me. Kuna mstari mmoja kwenye hiyo ngoma yake unasema "every body makes love and no one really cares" aiseee ndio jamii ilikofikia sasa. Ndio maana kwenye biblia pia kuna mstari unasema linda Sana moyo wako kuliko vyote ulindavyo.......
 
hili swala linakua gumu sana jinsi muda unvyokwenda nadhani ni kwa sababu ya kuwa linabase katika pande zote mbili, mtoto wa kike anapenda favour anajilegeza anapenda vitu vikubwa ambavyo vipo juu ya uwezo wake, anakutana na mwalim mroho wanazama penzini,,, haya yapo sana! watoto wenyewe wanaona kawaida, fanya tafiti vitoto vya form three sahivi haviwezi kukusalimia kama kaka yao, yaan wana zile hofu wanaona mpo rika moja kukupa salam nafsi inamsuta kuwa mnalingana, jamii yetu inatisha!
UMEONGEA facts tupu...kuna Katoto hapa wa jirani yetu huwa kanapimwa oil na wahuni wake mgombani nakafumaga sana yaani af sina hata time nao nikiwakuta. Sasa tuseme nakutana naye mchana kanavyotoa hiyo shikamoo sasa.dah.. yaani ni shikamoo iliyochangayikana na aibu +unafiki... Basi tu nakaitikia tu coz ni ubinadamu tu... But jamii kwa sasa imeharibika sana kwa kweli .na hako Katoto hata nikikakuta kwenye hizo harakati siwezi sema eti naenda kukashitaki kwa wazazi wake maana nao ni walewale tu sio Maza sio mshua... Kwahiyo inabidi mambo mengine kuyaacha kama yalivyo.
 
Back
Top Bottom