Chunya: Walimu wanne wanaswa wakibaka wanafunzi Ofisini

Chunya: Walimu wanne wanaswa wakibaka wanafunzi Ofisini

Duh! Inatisha! Mkuu wa shule yuko wapi hadi aruhusu nyumba kugeuzwa Temporary Danguro? Hapo hata condom zilitumika kweli? Au walikua wanatambika?
 
Mods rekebisheni title maana niliposoma neno "wakiwala" nimefikiri kuwa walimu waliwachinja wanafunzi na kuwala nyama.

Yani waligeuka kuwa cannibals.
kweli kabisa mimi nilijua walimu hawakosi chumvi na pilipili bila kusahau ndimu na tangawizi_Wamebanika watoto wa watu wanawala.! Sijui kwanini niliwaza hivi

Hii forum wazee itatushinda
 
Hii Jabari nimeiona leokupitia habari saa 2 ITV

Wamekutwa kwenye nyumba ya mkuu wa shule.

MY TAKE: Hili tatizo limekuwepo miaka nenda rudi...anakosekana mpigafilimbi kwa sababu jamii yetu imeoza.

Suala la kujamiana hovyohovyo imekuwa ndio sifa ya watanzania.

Unakuta baba mwenye watoto wakubwa anafanya uzinzi na watoto rika la wanae.

Mama anatembea na vijana wadogo

Wachungaji na mashehe wanakula waumini wao.

Jamii imeoza sana.

Nadhani tunahitaji kuchukua hatua zaidi ni bora serikali ionekane ni ya kikatili ila sio kuruhusu ufigisu kama huu.

Mama Samia kuwa mkali mama kutetea maadili Mungu atakulipa sio wachache waliopotoka ktk maadili.
Huu ni uoza wa kijamii ambao bila kuutungia adhabu kali taifa litaangamizwa na ujinga na ujuha kama huu. Shule, makanisa na misikiti vinapogeuka vichaka vya uzinzi unategemea nini? Huko maofisini nako sijui hali ikoje? Hawa wangechomwa moto. Ajabu tunapata jeuri ya kuwachoma vibaka wanaotafuta riziki wakati hawa walimu walikuwa wanatafuta kuharibu jamii.
 
Back
Top Bottom