Chunya: Walimu wanne wanaswa wakibaka wanafunzi Ofisini

Chunya: Walimu wanne wanaswa wakibaka wanafunzi Ofisini

Duh! Inatisha! Mkuu wa shule yuko wapi hadi aruhusu nyumba kugeuzwa Temporary Danguro? Hapo hata condom zilitumika kweli? Au walikua wanatambika?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamii ya saivi ni shida tupu, wanafunzi wa jinsia 1 kulana wao kwao, walimu nao wanagonga wanafunzi, yaan ni tafrani tyuuh.
 
Nioneshe tangazo la condom linaloonesha wahusika wakifanya mapenz na mm ntakuonesha hii video kupitia ITV
Wewe upo serious ukionesha hilo tangazo na wewe utaonesha hyo video? Ama unasema kwa sababu ujawai liona?
 
  • Waganga wanakula wagonjwa
  • Polisi wanakula mahabusu
  • Magereza wanakula wafungwa
  • Maboss wanakula masekretari
  • Madereva wanakula abiria
  • Wakufunzi wanakula wanachuo
  • Baba mwenye nyumba anakula wapangaji
 
Ndio muwaliwaze au mmesahau jukumu lenu toka mbinguni kuliwaza wanyonge!

Kwa hali hii uongo hautaisha ni muhimu kujiita injinia kabla mambo hayajawa hovyo!
Kwahiyo mkienda kutongoza mtu mnataja na vyeo vyenu? Vya nini sasa hivyo vyeo!?
 
Kwahiyo mkienda kutongoza mtu mnataja na vyeo vyenu? Vya nini sasa hivyo vyeo!?
Sasa kwani mie nikikutongoza katika maswali ambalo utauliza mapema sana si hilo la unafanya kazi gani ili mtua ajue kama kuna kwenda KFC au Mizambarauni 😅😅😅!

Ukishasema we ni ticha af ni kijana maana yake hapo mizinga ya malaki haiwezekani! Utapelekwa kwenye geto sio apartment 😂😂😂 na hapo ndipo maneno kama wanatia huruma na kibuti juu hufuata!
 
Sasa kwani mie nikikutongoza katika maswali ambalo utauliza mapema sana si hilo la unafanya kazi gani ili mtua ajue kama kuna kwenda KFC au Mizambarauni [emoji28][emoji28][emoji28]!

Ukishasema we ni ticha af ni kijana maana yake hapo mizinga ya malaki haiwezekani! Utapelekwa kwenye geto sio apartment [emoji23][emoji23][emoji23] na hapo ndipo maneno kama wanatia huruma na kibuti juu hufuata!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Apartment ya nyoko, tunaliwa hukohuko magetoni na hakuna kitu tunafanya(jokes)..... Ila sioni mantiki ya kumuiliza mtu kazi yake, binafsi siulizi kazi ya mtu Ila nitachunguza mwenyewe taratibu kadri muda unavyoenda... Ipo siku atajisemesha tu kuhusu kazi yake... Kama sijampenda hapo hapo anaponitamkia lengo Lake nakataa hata akisema ye sijui injinia, mkurungezi wa imf, sijui makorokocho gani.
 
Ndio muwaliwaze au mmesahau jukumu lenu toka mbinguni kuliwaza wanyonge!

Kwa hali hii uongo hautaisha ni muhimu kujiita injinia kabla mambo hayajawa hovyo!
Wapo wanaowaliwaza, wengine ndio hivo wanaamua kujiliwaza kwa wanafunzi....
Nadhani umenielewa Injinia Extrovert
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Apartment ya nyoko, tunaliwa hukohuko magetoni na hakuna kitu tunafanya(jokes)..... Ila sioni mantiki ya kumuiliza mtu kazi yake, binafsi siulizi kazi ya mtu Ila nitachunguza mwenyewe taratibu kadri muda unavyoenda... Ipo siku atajisemesha tu kuhusu kazi yake... Kama sijampenda hapo hapo anaponitamkia lengo Lake nakataa hata akisema ye sijui injinia, mkurungezi wa imf, sijui makorokocho gani.
Hamjawahi kupenda walimu nyie! Out of 100 girls wa kibongo ukiwauliza if they can date a teacher wanaweza kumi tu waka check in! Ila waliobaki wakakataa 😂😂😂
 
Hamjawahi kupenda walimu nyie! Out of 100 girls wa kibongo ukiwauliza if they can date a teacher wanaweza kumi tu waka check in! Ila waliobaki wakakataa [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila wale wa shule ya msingi wamezidi jamani khaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama wachimba chumvi.....
Angalau wa secondary kidogo
 
Ila wale wa shule ya msingi wamezidi jamani khaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama wachimba chumvi.....
Angalau wa secondary kidogo
Hahahahah wale sindio walimu! Hawa wa Sekondari ni ma Ticha kidogo wana exposure
 
Hii Jabari nimeiona leokupitia habari saa 2 ITV

Wamekutwa kwenye nyumba ya mkuu wa shule.

MY TAKE: Hili tatizo limekuwepo miaka nenda rudi...anakosekana mpigafilimbi kwa sababu jamii yetu imeoza.

Suala la kujamiana hovyohovyo imekuwa ndio sifa ya watanzania.

Unakuta baba mwenye watoto wakubwa anafanya uzinzi na watoto rika la wanae.

Mama anatembea na vijana wadogo

Wachungaji na mashehe wanakula waumini wao.

Jamii imeoza sana.

Nadhani tunahitaji kuchukua hatua zaidi ni bora serikali ionekane ni ya kikatili ila sio kuruhusu ufigisu kama huu.

Mama Samia kuwa mkali mama kutetea maadili Mungu atakulipa sio wachache waliopotoka ktk maadili.
Bila shaka mnamkumbuka mwenda zake. Hadi mnasema aliyefeli darasa la saba arudi tu shule.
 
Back
Top Bottom