Kama hatokuwa amejitambua shauri yake na mimba atebeba yeye si mimi, Kama atathubutu kuvua chupi yake mbele ya walimu wanne anachotaka nini? alafu huyu naye nimtetee upuuzi mtupu. Huwezi kunambia walimu wanne wanne wabake wanafunzi wanne au zaidi kwa pamoja, haiwezi kutokea, Hii itakuwa kama kesi ya Babu Seya kwamba yeye na wanaye wote walibaka asiwepo hata mmoja wa kuona hili jambo si sahihi.Subiri binti yako natalia na atalanta mimba ya ticha wa uraia....hapo ndo utaelewa ulichokiandika.
Mimi ni watoto tena wako vyuo lakini lazima wao wenyewe wajitambue siyo kuwa na tabia tabia za kijinga kujipeleka pelaka kwa wanaume alafu niwatetee. Tumetunga sheria za ajabu zinazoegemea upande mmoja. Hivi vibinti vinatongozwa vinakubali vinataka kubeba smart phones nk. Sitetei ujinga kabisa. Angekuwa mmoja kwa mmoja hapo ningekubali kuna ubakaji. lakini kwa hili la kundi hakuna ubaki hapo hawa walikuwa kama wanacheza filamu ya ngono,