luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,375
- 6,985
Ilo tatizo ndugu mtoa UZI hata wanafunzi wenyewe sasa ivi wapo moto sanaa asikwambie mtu
Mlishano
- Waganga wanakula wagonjwa
- Polisi wanakula mahabusu
- Magereza wanakula wafungwa
- Maboss wanakula masekretari
- Madereva wanakula abiria
Kuna watu mavazi yao tu yanawatambulisha kazi zao....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Apartment ya nyoko, tunaliwa hukohuko magetoni na hakuna kitu tunafanya(jokes)..... Ila sioni mantiki ya kumuiliza mtu kazi yake, binafsi siulizi kazi ya mtu Ila nitachunguza mwenyewe taratibu kadri muda unavyoenda... Ipo siku atajisemesha tu kuhusu kazi yake... Kama sijampenda hapo hapo anaponitamkia lengo Lake nakataa hata akisema ye sijui injinia, mkurungezi wa imf, sijui makorokocho gani.
Upimaji wenu wa kijinga sana maana hapo utaangalia ubora wa ghetto pili namna ya uhongaji ,ndo maana narudia kusema upimaji wenu wa kijinga sana ,,,,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Apartment ya nyoko, tunaliwa hukohuko magetoni na hakuna kitu tunafanya(jokes)..... Ila sioni mantiki ya kumuiliza mtu kazi yake, binafsi siulizi kazi ya mtu Ila nitachunguza mwenyewe taratibu kadri muda unavyoenda... Ipo siku atajisemesha tu kuhusu kazi yake... Kama sijampenda hapo hapo anaponitamkia lengo Lake nakataa hata akisema ye sijui injinia, mkurungezi wa imf, sijui makorokocho gani.
Ni swala la muda tu, atakipata anachotafuta....make alikua mkuu wa shule akadakwa anakula mtoto ofisini kwake, akapewa adhabu demotion na kuhamishwa sasa alipohamia naona yupo busy na watoto atapata haki yake.Assume mtoto wako ndo analiwa na uyo Ticha , muumbie tu hamna namna aende jela,
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona unataka kuniua sasa, make kama ni njaa ninayo tayari....Hahahah nimekuelewa kabisa ila tu nilitaka nikutie njaa😂😂😂
Hahaha unajua kila nikisomaga comment zako inanijia taswira ya coletha! Una njonjo kweli we mwanamke 😄😄😄Naona unataka kuniua sasa, make kama ni njaa ninayo tayari....
Bas kaa kwa kutuliaNdio
Ukikurupuka na maneno ya waandishi wa habari unaweza kupotea njia. Tafakari kwanza. Haiwezekani nyumba anayoishi mkuu wa shule itumike kwa uchafu huu na yeye anaona.Duh! Inatisha! Mkuu wa shule yuko wapi hadi aruhusu nyumba kugeuzwa Temporary Danguro? Hapo hata condom zilitumika kweli? Au walikua wanatambika?
Wewe una hasira pumzika.. Inaelekea hujanielewa kabisaaa.Upimaji wenu wa kijinga sana maana hapo utaangalia ubora wa ghetto pili namna ya uhongaji ,ndo maana narudia kusema upimaji wenu wa kijinga sana ,,,,
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] Jamani.....Kuna watu mavazi yao tu yanawatambulisha kazi zao....
Ukutane na mtu kavaa shati oversize, trou oversize haujamtambua kazi yake?[emoji23][emoji23][emoji23] (Sijataja kazi yoyote lakini)
Coletha yupi huyo Injinia (hili jina nakujazia watu 😁)Hahaha unajua kila nikisomaga comment zako inanijia taswira ya coletha! Una njonjo kweli we mwanamke 😄😄😄
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Apartment ya nyoko, tunaliwa hukohuko magetoni na hakuna kitu tunafanya(jokes)..... Ila sioni mantiki ya kumuiliza mtu kazi yake, binafsi siulizi kazi ya mtu Ila nitachunguza mwenyewe taratibu kadri muda unavyoenda... Ipo siku atajisemesha tu kuhusu kazi yake... Kama sijampenda hapo hapo anaponitamkia lengo Lake nakataa hata akisema ye sijui injinia, mkurungezi wa imf, sijui makorokocho gani.
Hahahah si yule muigizaji flani al-maarufColetha yupi huyo Injinia (hili jina nakujazia watu 😁)
Ungemalizia na viatu vyeusi vya kamba vilivyochokachoka soli imeenda upande na vina vumbi jingi😁Kuna watu mavazi yao tu yanawatambulisha kazi zao....
Ukutane na mtu kavaa shati oversize, trou oversize haujamtambua kazi yake?😂😂😂 (Sijataja kazi yoyote lakini)
Ajiudhuru,anakurupukaBi mkubwa atuombe radhi si atuelewi somo kuhusu mechi ya leo
Sema uzinzi umezidi siku hizi
Hapa ndipo makosa yanapo fanyikaga yan mtu unamkamata na kithibitisho bado unamuacha et unamuamisha eneo la kaz kama vile kilichofanya hilo kosa ni ofisiNi swala la muda tu, atakipata anachotafuta....make alikua mkuu wa shule akadakwa anakula mtoto ofisini kwake, akapewa adhabu demotion na kuhamishwa sasa alipohamia naona yupo busy na watoto atapata haki yake.
Ujanijibu nilichokuuliza. Acha kujibu kama mtotoBas kaa kwa kutulia
Na tai flani hivi pana pana, inakua kama pangaUngemalizia na viatu vyeusi vya kamba vilivyochokachoka soli imeenda upande na vina vumbi jingi😁