Chunya, Mbeya: Ndoto ya Hamza kujenga shule yaacha simanzi

nimemwita hivyo Kwa niaba Yako wewe kocho maana unamuatack Hamza ova alikusugusua bila kukulipa na ndio maana nasema Kama alifanya hivyo Kwa sababu ya shobo zako
Kwa kumwona handsome na ukaishia kutoswa bibie hakimu mfawidhi a.k.a pisi chafu!
Unamuitaje mwanaume mwenzako handsome?

Eti handsome wa kisomali.

Sasa dada umeeleweka.
 
acha kujitoa fahamu bibie Hakimu mfawidhi Mimi sio dada Yako ni mwanaume Tena wa mkoani naweza kukusugua mbaka nikakutoa ukurutu niPM tuongee mchumba uwe pisi yangu!
Mwanaume gani unaitwa mwanaume mwenzako handsome? Yaani mwanaume unasifia mwanaume mwenzako eti ni mzuri, handsome? Ni mashoga tu ndio wanafanya hivyo na wewe ni shoga hilo liko wazi. Naomba nijue uko wapi nije kukusukumia nyama mtoto mzuri.
 
Pia na yeye anampinga kwa kufanya mauaji ya polisi wasio na hatia.
Pia kumbuka alimuua na mlinzi wa kampuni hivyo fikiria ndugu zako wameuwawa hivyo ingekuja kusifu humu.
Ni kweli. Kama ingekua kati ya wale askari waliouwawa ni ndugu zake asingesifia. Watu wanajitwisha chuki kwa mambo ambayo hayajawafika.
 
Hamza pc

Summary

  • Ndoto ya marehemu Hamza Mohamed ya kujenga vyumba vya madarasa wilayani Chunya imeacha simazi miongoni mwa wanavijiji waliokuwa wkaiishi naye.
By Hawa Mathias

Mbeya. Wakati bado kukiwa na majonzi ya vifo vya askari polisi waliokuwa wakipambana na mfanyabiashara wa madini, Hamza Mohamed ambaye pia aliuawa, baadhi ya wananchi wilayani Chunya mkoani wameeleza ndoto ya mfanyabiashara huyo kuwajengea vyumba viwili vya madarasa ya awali mwaka huu katika eneo alilokuwa akiishi.

Mauaji hayo yaliyotokea Agosti 25, 2021 karibu na ubalozi wa Ufaransa jijini Dar es Salaam, baada ya Hamza kuwashambulia askari watatu kwa risasi mlinzi wa kampuni ya GSA, kabla na yeye kuuawa na askari wengine.

Ndoto hiyo ya marehemu Hamza imeelezwa kuwa ni kidonda na machungu kwa wananchi waliokuwa wakiishi naye kitongoji cha Kitete kilichopo kata ya Bwawani wilayani ambapo mfanyabiashara huyo alikuwa na mgodi wa madini ya dhahabu.

Diwani wa Kata ya Bwawani ambako alikuwa akiishi, marehemu Hamza amesema hilo ni pigo kwani alikuwa na ndoto za kuleta mabadiliko makubwa

"Huyo kijana kwa kweli ametuumiza sana kwani alikuwa ni mtu wa kujitolea kwenye mambo mengi ya maendeleo pamoja na kujenga ofisi za Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa gharama zake mwenyewe na mambo mengine mengi kwa jamii"amesema.

Ameongeza; "Alipanga mwaka huu kutekeleza ndoto yake ya kujenga shule kwa kianzia vyumba viwili vya madarasa ya chekechea endapo biashara ya madini ingeenda vizuri lengo kuwezesha watoto walio na umri wa kwenda shule wapate elimu bure ndoto ambao imezima na kugeuka maumivu," amesema.

Naye Eva Said kazi wa kitongoji hicho, amesema kuwa marehemu Hamza ameacha maumivu makali kwao kwani lengo lake la kujenga shule lingekuwa chachu kwa watoto kupata elimu na kwamba alihaidi kukibatilisha kitongoji chetu ambapo kwa bahati mbaya amekatishwa uhai wake akiwa bado na ndoto za kuisadia jamii.

"Kwa kweli tumeumia sana kwani tulimpenda kutokana na jinsi alivyokuwa akijitoa na kusaidia wananchi,miradi ya maendeleo kwa kweli ni pigo kubwa sana kwetu wananchi ambao tulikuwa tukiishi naye," amesema.

Mfanyabishara katika Mamlaka ya mji wa Makongorosi , Lawena Nsonda amesema kuwa kimsingi marehemu alikuwa ni mtu anayejishusha na kuongea na kila mmoja ikiwa ni pamoja na kuchangia maendeleo na alifahamiana naye wakati akijenga Ofisi cha Chama cha Mapinduzi (CCM) kwani alikuwa akimuungisha vifaa vya ujenzi.

Mwenyekiti wa wachimbaji wa madini Wilaya ya Chunya, George Mtashi amesema kuwa kifo cha Hamza kimewaumza sana kutokana na mchango wake mkubwa kwa jamii na ndoto alizokuwa nazo wilayani humo

Chanzo: Mwananchi

Huyo ndiye wa hovyo kama alivyo jinasibu yule afande manyota
 
Ni kweli. Kama ingekua kati ya wale askari waliouwawa ni ndugu zake asingesifia. Watu wanajitwisha chuki kwa mambo ambayo hayajawafika.
Watu wanapenda kuweka chuki kwa watu ambao hata hawana makosa eti kisa tu mtu huyo anafanya kitu ambacho yeye hajapendezwa.
 
Pia na yeye anampinga kwa kufanya mauaji ya polisi wasio na hatia.
Pia kumbuka alimuua na mlinzi wa kampuni hivyo fikiria ndugu zako wameuwawa hivyo ingekuja kusifu humu.
Police wasio na hatia wamekufa sababu walikua wanja wa vita na vita Haina macho popote alipo adui ni mashambulizi haijalishi ni yupo Kwa namna Gani kwanini Hamza hakuwalenga wale wananchi akadeal na Polisi pekee huoni tatizo hapo?
Jamaa Alikua ni mbogo aliyejeruhiwa atamfuta adui aliyemjeruhi tu Kama alivaa nguo nyekundu akakimbia na akatokea mtu tofauti na aliyemjeruhi mbele yake na kavaa nguo nyekundu atadhuliwa tu hapo mbogo anakua Hana hatia!
 
Huu ni ushahidi mwingine kuwa Hamza hakuwa mtu Wa hovyo kama Mkuu Wa Jeshi la Polisi anavyolazimisha tuamini..

R.I.P Hamza
Kama kweli alizulumiwa na polish je ndio hao aliowashambulia?
Kama sio ni fara tu. Amepigwa mk2ara huku anaenda kuadhibu asiye husika si angeliansisha wakati wanamnyang'anya. Bastola alikuwa nayo au alienda kununua
 
Wapi nimezungumzia habari za kudhulumiwa?
 
Police wasio na hatia wamekufa sababu walikua wanja wa vita na vita Haina macho popote alipo adui ni mashambulizi haijalishi ni yupo Kwa namna Gani kwanini Hamza hakuwalenga wale wananchi akadeal na Polisi pekee huoni tatizo hapo?
Jamaa Alikua ni mbogo aliyejeruhiwa atamfuta adui aliyemjeruhi tu Kama alivaa nguo nyekundu akakimbia na akatokea mtu tofauti na aliyemjeruhi mbele yake na kavaa nguo nyekundu atadhuliwa tu hapo mbogo anakua Hana hatia!
Kwahiyo unazani kila shambulio lililo fanywa huwa ni kisasi kwa muhusika?
Kabula hujatoa hayo maneno fikiria mfano magaidi wanao teka watu au familia kadhaa ina maana hizo familia zimewakosea?
Ukipata majibu utakuwa umekomboka na mawazo potoshi.
 
Bora ungemsifia shem wako kweli. Kama kuna kero toka front. Utakaziwa mkeo, kila wakati kwa kuwasifu wanaume wenzako
Nikimsifu huyo mkeo hata chukua round atakua magetoni akichezea mpini
Na na hofu utajiua Kwa msongo wa mawazo tutakupoteza
Halafu kingine Kama unahofu na Mimi nipe dadaako nimkaze uone Kama nina uchoko huo unaodai harafu atakuja akupe mrejesho Kamanda!
 
Back
Top Bottom