Kaveli
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 5,479
- 9,020
Ati nini??..haya nipe talaka yangu. Teh teh
Habaree ndo hiyo. We kama unazubaa na unazembea kuhudumia ndoa, what do you expect? Nishachepuka tayari mie, japo mchepuko haukufikii kwa utamu, ila ni bora huu mchepuko maana napewa tamu kila napohitaji, wakati mwingine naletewa tu ata kama sijaomba. Teh teh. Kumbe ndo maana michepuko huwa inawazidi kete nyie wamiliki halisi.
Haya TALAKA yako ipo tayari inakusubiri PM.
N.B: 'Lose Something..Get Something' by missyrose
Last edited by a moderator: