Chunga sana ulimi wako mwanandoa

Bado unakumbuka hadi leo? Pole mwaya ulimi kiungo kidogo lakin unaweza washa moto usiozimika
neno ulilotamkiwa na mtu unayempenda kuliko kitu chochote kamwe huwezi kulisahau.. Nalikumbuka kwa kuwa niliwahi kumpenda kupita kiasi
 
neno ulilotamkiwa na mtu unayempenda kuliko kitu chochote kamwe huwezi kulisahau.. Nalikumbuka kwa kuwa niliwahi kumpenda kupita kiasi
Uliwahi kumpenda lakin humpend tena. Maneno mabaya sana yanaacha kovu moyon
 
neno ulilotamkiwa na mtu unayempenda kuliko kitu chochote kamwe huwezi kulisahau.. Nalikumbuka kwa kuwa niliwahi kumpenda kupita kiasi
Nilijua ulioa kabisa kumbe ulikua bado. Ulimi huu kiungo kidogo lakin
 
Leo tu nimeambiwa hayo maneno mchana na wife lakini kwa sababu ana mimba changa nimemchukulia poa tu
pole mpendwa na hongera pia kwa kutambua mabadiliko ya mke wako maana ni wanaume wachache sana wanawaelewa wake zao katika kipindi hiki cha ujauzito.ujauzito una mambo mengi, waweza tu mchukia mtu bure tu
 
Nilijua ulioa kabisa kumbe ulikua bado. Ulimi huu kiungo kidogo lakin
kila kitu kilikuwa kipo kwenye utaratibu lakini baada ya kauli ile nikavunjika Moyo kabisa na kuanzia hapo mapenzi ya kalegalega mwishowe kila mmoja akatazama ustaarabu wake DIVINE
 
Point noted
 
kila kitu kilikuwa kipo kwenye utaratibu lakini baada ya kauli ile nikavunjika Moyo kabisa na kuanzia hapo mapenzi ya kalegalega mwishowe kila mmoja akatazama ustaarabu wake DIVINE
Pole mwaya . Mungu akufanyie wepesi huko mbeleni. Bt msamehe kabisa ili awe huru na aman huko aliko.
 
ndoa inahitaji uvumilivu la sivyo huwezi kaa humo
 
Ukiwa na hasira, ukizinguana na mwenzi best solution ni kukaa kimya, ukimya unaepusha mengi mnoo
Na heshimu rai na ushauri wako...
Listen na usome hiyo !!
" A man is born through a woman
And he is raised by a Woman
And he falls in Love with a Woman
And he marriesa Woman
And i am surprised about the Man who doesn't Respect a woman....
saying the unsaid !!!

heshima lazima muheshimiwe...
 
Pole mwaya . Mungu akufanyie wepesi huko mbeleni. Bt msamehe kabisa ili awe huru na aman huko aliko.
DIVINE nimeshamsamehe Huyu mtu tokea zamani na Sina kinyongo chochote juu yake lakini hii kauli yake ndio huwa naikumbuka muda wote kwa kuwa sikutarajia kama ingetolewa na mtu niliyempenda kupita kiasi
 
Mtu ukiwa na hasira bora kutoongea lolote,mana badae unajiskia vibaya sana
 
Nimetoka kuyafanya jana tu. Nikamwambia Najuuta kukurupuka labda ningekujua miaka miwili nyuma tusingekua hapa leo. Uliniforce ndoa
 
kiswahili swafi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…