Chuna Kuku

Kweli wewe ni kuku mzee na una matatizo sio bure.
 
Beberu zee, kweli hii kali!
 
Duh, Lazima iwe ya wachina. Hawa jamaa wanawamwagia kuku maji yamoto wakiwa wazima. huwa hawachinji kwanza. Nice picture!
 
huyo kuku kanyongwa au kafa kwa kidele? kanyonyolewa bila kuchinjwa!
ndo wale tunaouziwagwa kwenye stand za mabasi na treni
 
yaani kuku achunwe ndio achinjwe lolololo tunalishwa vibudu. ila stail yakubanika umesahau wavu ili asigonge jiko na kuchafuka mikaa ama pengine kuungua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…