Manifestation
Senior Member
- Jan 22, 2020
- 193
- 323
Hahahhaahah roho haijawahi kuoa, Kula, kutamani hayo ni ya mwilini Mkuu, Mungu ni roho, asante Kwa mchangoMungu hajawahi kuwa na mke, usidhani ni mjinga.
Pole mkuu kwahivyo vingine unahaki yakulalamika, lakini wenzio chumvini tunazama kwa starehezetu na siyo kigezo chakumfanya asikuache/kukusalitiBaada ya kulipa Kodi, nauli, nywele, kila mwezi wazazi 30k Kula yake na kiusomesha wadgo zake na kujitahidi Kwa show Kali Hadi kufikia kuzama chumvini
Hivi kwanini mkisha tendwa mnampa mzigo god maana wakati wa furaha mnakuwa busy lakini mkitendwa tu mnaanza oooh god nijalie
Sasa yupo upande wetu mzee sisi wengine hatuna hata wa kutuambia "Leo UMEKULA nini "Mu"
Point kali kinomaMungu hajawahi kuwa na mke, usidhani ni mjinga.
Umeona ee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseee sibora ujinge tu
Sent using Jamii Forums mobile app
SASA roho siunajua kila kitu?? Hata wewe ukisikiliza roho yako mapenzi hayawezi kutesa shida ni kusikiliza mwili
Hahahahah kiukweli Sioni starehe ya kwenda huko sema Kwa sababu nilikuwa nakupenda sikuona shidaPole mkuu kwahivyo vingine unahaki yakulalamika, lakini wenzio chumvini tunazama kwa starehezetu na siyo kigezo chakumfanya asikuache/kukusaliti
Bado mapenzi yapo Kwa wanaojua thamani yakeRIP mapenzi
UjingaPole mkuu kwahivyo vingine unahaki yakulalamika, lakini wenzio chumvini tunazama kwa starehezetu na siyo kigezo chakumfanya asikuache/kukusaliti