Chumvi nyingine sumu jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chumvi nyingine sumu jamani

Discussion in 'JF Doctor' started by Pdidy, Nov 16, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Nov 16, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,485
  Likes Received: 5,721
  Trophy Points: 280
  Jamani wazima wote...wana ndugu kuna jamaa yangu alikuwa mpenzi sana wa chumvini sasa majuzi kakutana na acid ama sumu...jamaa ni black wanandugu ile sehemu ya mdomo pembeni ya jicho na kidevu kumekuwa kweupe kaama zeru zeru..ameenda kwa madktari wanamla hela tu paka hiki mpaka leo...mtamsaidiaje huyu...kwa wale wapennzi wa hizi sehemu acha....tafuta njia nyingine kuridhisha kwa kweli unless unakuwa na kipima joto.......
   
 2. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #2
  Nov 17, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Mkuu huyo itakuwa lazima kazamia 'sem sem' hizo katika siku za 'machafuko' au kabla ukuta hauja kauka 'rangi' vizuri yeye kaegemea...inatokea sana...mbona Mkuu.
  Ni kweli ungalifu ni muhimu
   
 3. Mbogela

  Mbogela JF-Expert Member

  #3
  Nov 17, 2009
  Joined: Jan 28, 2008
  Messages: 1,369
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Junius sidhani kama upo sahihi, sidhani kama mafuriko ya bonde la mto rufiji au kutokauka kwa kingo zake kutoka na mvua zinazoelekea kukauka kunaweza kuleta athari kubwa namna hiyo. Hii kitu inawezekana ni Syphilis kwani katika STI ni ugonjwa ambao huweza kudakwa kwenye Ngozi, Midomo na hata macho. Kwa hiyo ningemshauri huyu Bw. Muathirika kumwambia Dakatari wake kuwa anahisi amedaka kaugonjwa ka wakati akina mzee pwagu na pwaguzi wanakuwa.
   
 4. Mwawado

  Mwawado JF-Expert Member

  #4
  Nov 17, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 998
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 35
  Pamoja na kwamba sio daktari lakini maneno yako yanaweza kuwa na ukweli....Nimekwishawahi kuona jamaa amepata vidonda vidogo vidogo sehemu yenye ngozi laini mdomoni,na Daktari akamwambia amekula (naniino).....yenye ugonjwa,Jamaa huyo aliniambia kuwa maneno ya Daktari ni kweli na baadaye akaongozana na mdada huyo kumuona Daktari.

  Kwa wale swimmers inapaswa wawe waangalifu sana na usafi wa hayo maeneo na si kila partner unapiga mbizi..ni lazima ujali hali ya usafi ya partner wako...na liwe zoezi kwa mtu unayemuamini tu....kuna baadhi ya VD zinashambulia ngozi laini ya mdomo! (Naomba mniwie radhi lugha iliyotumika kidogo ni kali)
   
 5. MwalimuZawadi

  MwalimuZawadi JF-Expert Member

  #5
  Nov 17, 2009
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 643
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Aangalie asijekuwa amepata throat gono
   
 6. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #6
  Nov 17, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Kazidi naye kulamba lamba............pole yake.
   
 7. K

  Keil JF-Expert Member

  #7
  Nov 17, 2009
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mkuu Mbogela,

  Uko sahihi kwa 100%!

  Niliwahi kuambiwa na Dr mmoja kwamba mama akishika mimba na wakati huo huo akawa na gonjwa la zinaa kama kisonono au kaswende, kama halikutibiwa basi kichanga kilicho tumboni kinaweza kuathirika. Magonjwa hayo huathiri mfumo wa uzazi kwa akina mama na usipotimbiwa mapema unaweza kushambulia mpaka nyumba ya uzazi na ukija kuutibu late unaweza kuta mtu anapona na kuacha makovu ambayo yanaweza kusababisha asishike tena mimba..

  Nilishuhudia case ya mama mmoja ambaye mwanae alinusurika kuwa kipofu kwa kuwa mama alikuwa na gonjwa la zinaa kwa muda mrefu na hakujua kama anaumwa. Mtoto alizaliwa na vidonda kibao machoni na wakasema alikuwa na bahati angeweza kuwa kipofu kabisa.

  Haya magonjwa ni hatari sana, huwezi kujua hatari yake mpaka ukutane na mtu aliyebabuka kama huyo. Sasa kama ngozi ya mtu mzima inababuliwa, je ya kichanga?
   
 8. K

  Keil JF-Expert Member

  #8
  Nov 17, 2009
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Si unajua tena mambo ya siku hizi akina dada wako wazi ... anakuambia kabisa huwa anapenda sana mambo hayo, basi jamaa inabidi awajibike na matokeo yake ndo hayo.

  Kwa kifupi tendo hilo linahitaji usafi wa kutosha na pia mtu awe anamwamini mpenzi wake ndipo mambo yatafanyika kwa uhakika. Jamaa kama huyo sijui kama atakuja kuzamia tena chumvini, atakuwa anaona ni kama kituo cha polisi.
   
 9. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #9
  Nov 17, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,485
  Likes Received: 5,721
  Trophy Points: 280
  soln ni kutmbea na detto...mkifika shugulini mnaenda kuoga na sabuni ya detto mnakaushana ndio mwaweza kula kwa nafasi kwa style hii watapata shida sna
   
Loading...