Dini yetu Wagagagigikoko
Hivui vitabu naweza kuvipata wapi jamani??Wagagagigikoko ilikuwa kabila.
Alikumbana nayo Bulicheka na Lizabeta baada ya kusafiri na meza.
Kwi kwi kwi teh teh teh, umenikumbusha mbali sana.
Labda dini ilikuwa ya wale aliokumbana nao Umsolopagas, "wajivuni".
Hivui vitabu naweza kuvipata wapi jamani??
Mwenye nakala anipe ni scan then ntamrudishia

hiyo itakuwa dini ya kizunguzungu:A S-confused1:Dini inakataza kitanda kuwekwa katikati
kikiwa kati kinapendeza zaidi na kukupa urahisi wa kutandika
itakuwa hiyo hiyohahahahaaaaaaa ama ni DIMAYO? :focus: