Chumbani nako....

Chumbani nako....

Ukiweka kitanda katikati ya chumba kuna nafasi ndani ya chumba itapotea bure bila kutumika.....
 
habarini wana MMU!

Sio muda nimesikiliza na kuangalia wimbo wa taarabu TBC 1, Sasa wanasema habari ya kitanda kuwekwa pembeni mnamo chumbani. Sasa wanasema hakiwezi kukaa kati, kwani kuna ubaya gani kitanda kikiwekwa katikati chumbani? Je jambo hili lina uhusiano wowote na mila za kitanzania ama kiafrika?
ndugu hizo nyimbo za kileo ni majanga matupu kama taarabu yaani ni bora usikilize peke yako si na wanao , mfano huu wimbo unasema kuchapiwa mke ni siri ya ndani , unanikera sana maana kuna nyakati uko na mkeo na watoto huwa mara nyingi ukimya ndiyo unatawala kwa aibu tu
 
picha tafadhali

bed.jpg
 
Aiseee kitanda kikiwa kizuri kikikaa katikati ni bonge la decoration I tell you. Hayo mambo ya nafasi ni koz tu ya ujenzi wetu wa kibongobongo.

Changu pamoja na udogo wa chumba ila kipo kati sema ndo ivo nna mpango wa kukiuza ninunue kingine chenye urembo zaidi.

View attachment 124727

Mbona hata hicho kipo ukutani?
 
sababu ya udogo wa chumba na mila zetu eti unapojenga chumba kisizidi ukubwa 10x10 kama ni cha ukubwa wa 15x15 kwa nini nisiweke katikati
 
sababu ya udogo wa chumba na mila zetu eti unapojenga chumba kisizidi ukubwa 10x10 kama ni cha ukubwa wa 15x15 kwa nini nisiweke katikati

ndio mana hatuendelei miafrica mweh!
 
Back
Top Bottom