Chumbani kwa dereva wa bajaji

[emoji23] [emoji23] una comments ambazo ukizisoma ukiwa kwenye team ya wafanyakazi wenzio unaweza kuharibu image yako.Maana kicheko kitakacho toka kila mtu atashituka.Kwa mfano hilo jibu la "pedi" limekujaje hapo mkuu?
Tehteh..
Akili yangu naiweza basi . Ila tunachofanya nikuyafanya maisha yetu yazungukwe na furaha mkuu.
 

Huyu mdada ndiyo Mzuri Model?......duh
 
Kidogo bwana mamdogo na mimi nataka kurusha rusha miguu kama model wa daladala
Yaani wewe Daby huwaga nakufikiriaga kuwa jinsi ulivyo nje na hii Jf.

Yaani unaonekana mtu mcheshi sana na unapenda matani hivi

Yaani hata watu unaoshigi nao huko kitaani kwenu huwaga wanafurahia sana uwepo wako

Maana siishagi hamu kukufatiria na vikolezo vyako.

Ni mawazo yangu tu mkuu
 
Teh
Elly kwanza wewe wa jina sema sijajua unaitwa eli nini...
Salute mkuu... ndivyo nilivyo
 
Daby unawavutia hadi wanaume.astaghafulilah
 
Sasa hzo si zilikuwa zile kubwa kubwa za eric mwenyewe ila rais anampenda mke wangu was the best to me aisee acha kabisa

Humo nakumbuka moja ya characters alikuwa anaitwa Emmanuel kama sijakosea.
 

Nipe namba yake,..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…