Chumba kinapangashiwa Iringa eneo la Semtema

Chumba kinapangashiwa Iringa eneo la Semtema

Joined
Jul 3, 2015
Posts
88
Reaction score
128
Habari wadau wa JF. Kwa wadau mlioko pande za Iringa mjini, Chumba kinapangishwa maeneo ya semtema duka la mchele. Kodi kwa mwezi ni elfu thelathini (30). Choo ni cha nje, maji yanapatikana masaa 24. Umeme unaotumika ni wa luku. Kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane kwa namba 0754 200 387 / 0714 241 547
 
Mie nahitaji chumba maeneo ya Gangilonga au Wilolesi..
napata kwa sh. ngapi mkuu?
 
Back
Top Bottom