Chumba cha shindano dodoma

Chumba cha shindano dodoma

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,315
Hao ndio wakataji
 
Attachments

  • 1436459549284.jpg
    1436459549284.jpg
    47.4 KB · Views: 1,967
Hapo Mkuu
Ni Sehemu Utakayosikia
Yale Ya Akina Korimba, Mzeru
 
Sio kweli. Pichani naweza kuwaona Gharib Bilal, Mizengo Pinda na Mwigulu Nchemba... Hawa si ndo watangaza nia wenyewe? haaaaaaa
 
Hiyo Picha ni ya mwaka 2012 kikao cha kamati kuu ya CCM kilifanyika Dar, tena Ikulu. Hiyo kitu ilileta maneno sana, kwani watu walihoji iweje vikao cha CCM vifanyike Ikulu?
 
Tanzania kila kitu kinawezekana mkuu
 
sio kweli. Pichani naweza kuwaona gharib bilal, mizengo pinda na mwigulu nchemba... Hawa si ndo watangaza nia wenyewe? Haaaaaaa

mtoa post atakuwa bavicha kama fisi anayesubiri mkono udondoke aokote babu bunduki nasikia kakataliwa kugombea cdm cause kuna mchaga olginal katokea
 
Hiyo Picha ni ya mwaka 2012 kikao cha kamati kuu ya CCM kilifanyika Dar, tena Ikulu. Hiyo kitu ilileta maneno sana, kwani watu walihoji iweje vikao cha CCM vifanyike Ikulu?

mtoa post atakuwa bavicha kama fisi anayesubiri mkono udondoke aokote babu bunduki nasikia kakataliwa kugombea cdm cause kuna mchaga olginal katokea
leo raisi anaingia bungeni kuhutubia wabunge wanaimba CCM CCM CCM CCM...... sijui tunakoelekea, hadi bunge ni mali ya ccm
 
Back
Top Bottom