Chuma ulete walivyopata kipigo

Chuma ulete walivyopata kipigo

Hahahhaaa laa hasha hauwezi kuwa wa huko na yale maanjumat
Mraa, mimi ni Musoma type, nimezaliwa na kukulia zenji thus Y. Then wazenji hawana tabia hizo za kiajabu nimeishi nao sana, tena hata kama wewe ndio utamnyang'anya chake au kumuibia kikubwa atasema "Mungu atanilipia" lakini sio yeye kuwa tapeli kama hivyo.
 
Huyu ana lake jambo
 
Huyu jamaa ndio yule wa sms za superfeo na utajiri sema leo kaandika lugha ilionyooka
 
Mpenda hawezi mchokoza mtu ila husubiri achokozwe ili ukione cha mtima kuni.
 
Huu ni uchonganishi wa hali ya juu, wapemba hawana tabia za kipumbavu, kijinga, kitapeli kama ulivyowaaminisha watu kwenye uzi wako.
Usikurupuke sijaleta uzi kwa ajili ya uchonganishi naongea nnachokijua.
Huyo muhusika mkuu yupo Pemba mdogo wake ambae ndo anazidi kuibia watu kwa kujifanya mganga yupo Unguja.
Naijua familia yao yote mwanzo hadi mwisho.
Huyo jamaa ni mkatili mbaya, juzi kati kampiga mke wake ulikua unamuogopa hata kumwangalia.
Jamaa akikwambia anakuuwa usione masihara utafute njia mapema.

Ikiwa haumini kwa bahati nzuri wewe upo Zanzibar na mimi nipo hapa hapa.
Tukutane nikuoneshe huyo jamaa kabla sijaondoka.
 
I bet wewe ni mpemba
Mkuu mara nyingi mimi naongea kitu nnachokiona haijalishi mimi natoka wapi wala nini, huyu Alibakar anataka kubisha vitu asivyovijua.
Sehemu kuitwa Pemba haijalishi kuna wema mtupu hapana na ukatili upo.
Naongea nikiwa tayari nna uhakika na nnachokisema maana Pemba ndo kwetu.
 
Mraa, mimi ni Musoma type, nimezaliwa na kukulia zenji thus Y. Then wazenji hawana tabia hizo za kiajabu nimeishi nao sana, tena hata kama wewe ndio utamnyang'anya chake au kumuibia kikubwa atasema "Mungu atanilipia" lakini sio yeye kuwa tapeli kama hivyo.
Unabisha nini sasa
 
Yeye ndio tapeli, lengo lake ni kuwachafua wengine ili aweze kufanikisha yake, kuweni macho.
Sina asili ya utapeli hata chembe na sipendi kuwa karibu na mtu ambae ana viashiria vya utapeli.
cc: Mshana Jr.
 
hapo utataka tukutafute ili utuonyeshe hiyo babu kisha badala yake unatutapeli
Sijakwambia unitafute na sipigii mtu debe, nina kazi yangu ndani ya serikali sijihusishi na utapeli wala uganga bali ukinichokonoa nna mtu wangu namtumia nakuweka sawa.
 
Back
Top Bottom