Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 20,507
- 41,223
Hadithi hii inaonekana huyo baba Mdogo anaamini sana ushirikina pamoja na wewe na hizo hela zilirudi alikozitoa hao sijui walimtapeli hamna kitu na mkwe sijui hamna kitu...watapeli million 2 wauze gari ya 18 million watu wanne? meseji za aina hii nyingi kila kukicha...