20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 7,970
- 6,761
Wasalaam wanajamvi.
Katika pita pita za hapa na pale, katka kusaka maarifa, kuna kitu nikakutana nacho.
Kuna jinsi ya uchumaji fedha kichawi. Kuna dawa huandaliwa kisha mchawi huyu huchanganya na damu yake mwenyewe.
Baada ya siku chache mchanganyiko wa ile dawa na damu, huoza na kutengeneza funza. Sasa siku ya kwanza funza wale wanapoanza kutokea huwabatiza jina
Mfano "kuanzia leo, wew ni konki". Ulimi huumba, na huwaita hivi kwa siku kadhaa. Kisha wale funza hupokea jina hili.
Kifuatacho ni kuanza kufanya madawa na kuwa tuma funza hawa kimazingala, waende wamvae mhusika.
Kumbuka hapo anakuwa ametengeneza, roho ambayo itakuwa inateka utashi wa mtu.
Sasa, ataita hiyo roho ataiambia kamvae, GOBOKA. Sasa huyu mtu ataingiliwa na hiii roho, kama Virus kwenye computer. Hawatamsumbua kabisa, maana si kazi yao.
Kazi yake sasa.
Imetokea siku huyu mchawi anataka kitu kwa GOBOKA. Atampigia simu au kumtafuta uso kwa uso, mfano njiani/ nyumbani kwake. Kisha ataita KONK (ule uchawi aliopandikiza). Ile roho ndio itachukua nafasi na kufanya yale yatayosemwa, bila muhusika kufahamu au kutaka.
MFANO:
Mchawi: Konk
(Goboka utashi wake utatawaliwa, ambae ataitika ni roho iliyopandikizwa)
Konk: naaaam
Mchawi: nipatia elfu 20 hapo
(ataingiza mkono katika mfuko atampa, kama hana atatafuta namna au hata kufata ndani alikoweka)
Kishaa jamaa huyo atasepa zake. Ndio hapo sasa GOBOK akirudiwa utashi atajikuta ana laki na 30, elfu ishirini haipo.
Utajisachi wee kujua ulipoweka hakuna. Utafikiria uliponunua na kupita huoni hesabu, unaweza hisi hata mkeo kaiba, ugomvi utaanza
So kila muda ukifika, akijisikia lolote kukutuma anaita uchawi wake tu.
Make sure una nguvu inayokulinda
Jesus ni dawa.
Sent using Jamii Forums mobile app