Chuma Ulete: Vituko vya sayansi ya giza

20PROFF

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
7,970
6,760
Wasalaam wanajamvi.

Katika pita pita za hapa na pale, katka kusaka maarifa, kuna kitu nikakutana nacho.

Kuna jinsi ya uchumaji fedha kichawi. Kuna dawa huandaliwa kisha mchawi huyu huchanganya na damu yake mwenyewe.

Baada ya siku chache mchanganyiko wa ile dawa na damu, huoza na kutengeneza funza. Sasa siku ya kwanza funza wale wanapoanza kutokea huwabatiza jina

Mfano "kuanzia leo, wew ni konki". Ulimi huumba, na huwaita hivi kwa siku kadhaa. Kisha wale funza hupokea jina hili.

Kifuatacho ni kuanza kufanya madawa na kuwa tuma funza hawa kimazingala, waende wamvae mhusika.

Kumbuka hapo anakuwa ametengeneza, roho ambayo itakuwa inateka utashi wa mtu.

Sasa, ataita hiyo roho ataiambia kamvae, GOBOKA. Sasa huyu mtu ataingiliwa na hiii roho, kama Virus kwenye computer. Hawatamsumbua kabisa, maana si kazi yao.

Kazi yake sasa.

Imetokea siku huyu mchawi anataka kitu kwa GOBOKA. Atampigia simu au kumtafuta uso kwa uso, mfano njiani/ nyumbani kwake. Kisha ataita KONK (ule uchawi aliopandikiza). Ile roho ndio itachukua nafasi na kufanya yale yatayosemwa, bila muhusika kufahamu au kutaka.

MFANO:

Mchawi: Konk
(Goboka utashi wake utatawaliwa, ambae ataitika ni roho iliyopandikizwa)

Konk: naaaam

Mchawi: nipatia elfu 20 hapo
(ataingiza mkono katika mfuko atampa, kama hana atatafuta namna au hata kufata ndani alikoweka)

Kishaa jamaa huyo atasepa zake. Ndio hapo sasa GOBOK akirudiwa utashi atajikuta ana laki na 30, elfu ishirini haipo.

Utajisachi wee kujua ulipoweka hakuna. Utafikiria uliponunua na kupita huoni hesabu, unaweza hisi hata mkeo kaiba, ugomvi utaanza

So kila muda ukifika, akijisikia lolote kukutuma anaita uchawi wake tu.

Make sure una nguvu inayokulinda

Jesus ni dawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Come on, You know things kiundani.

Wengine hutumia ndumba kujilinda BUT nikukausha tope kwa kumwaga maji menginr

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna mahali nilikuta wameotesha maua Fulani hivi nikawa nayachezea, mzee Wa pale akaniambia Yale maua pale yanasaidia kuzuia chuma ulete hata za unga, mboga, etc.
Same flowers nikaziona kwenye makazi ya watawa na mapadre, nilipata kumuuliza brother hapo hakunipa jibu zaidi akasema karibia mimea na maua yote yanayooteshwa misheni yanakuwa dawa ya kitu.
 
Wasalaam wanajamvi.

Katika pita pita za hapa na pale, katka kusaka maarifa, kuna kitu nikakutana nacho.

Kuna jinsi ya uchumaji fedha kichawi. Kuna dawa huandaliwa kisha mchawi huyu huchanganya na damu yake mwenyewe.

Baada ya siku chache mchanganyiko wa ile dawa na damu, huoza na kutengeneza funza. Sasa siku ya kwanza funza wale wanapoanza kutokea huwabatiza jina

Mfano "kuanzia leo, wew ni konki". Ulimi huumba, na huwaita hivi kwa siku kadhaa. Kisha wale funza hupokea jina hili.

Kifuatacho ni kuanza kufanya madawa na kuwa tuma funza hawa kimazingala, waende wamvae mhusika.

Kumbuka hapo anakuwa ametengeneza, roho ambayo itakuwa inateka utashi wa mtu.

Sasa, ataita hiyo roho ataiambia kamvae, GOBOKA. Sasa huyu mtu ataingiliwa na hiii roho, kama Virus kwenye computer. Hawatamsumbua kabisa, maana si kazi yao.

Kazi yake sasa.

Imetokea siku huyu mchawi anataka kitu kwa GOBOKA. Atampigia simu au kumtafuta uso kwa uso, mfano njiani/ nyumbani kwake. Kisha ataita KONK (ule uchawi aliopandikiza). Ile roho ndio itachukua nafasi na kufanya yale yatayosemwa, bila muhusika kufahamu au kutaka.

MFANO:

Mchawi: Konk
(Goboka utashi wake utatawaliwa, ambae ataitika ni roho iliyopandikizwa)

Konk: naaaam

Mchawi: nipatia elfu 20 hapo
(ataingiza mkono katika mfuko atampa, kama hana atatafuta namna au hata kufata ndani alikoweka)

Kishaa jamaa huyo atasepa zake. Ndio hapo sasa GOBOK akirudiwa utashi atajikuta ana laki na 30, elfu ishirini haipo.

Utajisachi wee kujua ulipoweka hakuna. Utafikiria uliponunua na kupita huoni hesabu, unaweza hisi hata mkeo kaiba, ugomvi utaanza

So kila muda ukifika, akijisikia lolote kukutuma anaita uchawi wake tu.

Make sure una nguvu inayokulinda

Jesus ni dawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uzi wako umekaa kishirikina lakini mwishoni umemaliza vizuri mno nikafurahi.
Jesus ni dawa.Ukiwa mcha mungu sana shetani anakuwa kama anaungua moto.Ni vigumu kumloga mcha mungu kwa dini zote za Ibrahim.Watu wanaoamini ushirikina sana kuwaloga rahisi sana hata kama wewe sio mchawi.Mfano mchukue chura mshonee kitambaa cheusi kama hirizi weka mlangoni kwa muumini wa ushirikina ataona asubuhi hirizi inapumua atakwenda kwa mganga akija mganga atamwagia ile hirizi inapumua mafuta ya taa atawasha moto yule chura ndani atakufa.Atamuambia mteja wake ungeruka ungekufa hapo hapo.Hapo hofu itamuingia mtu atakuwa amelogeka tayari.
Sasa sikiliza hii kali mlevi wa pombe na bangi ni vigumu kuwaloga vile muda wote wamelewa hata shetani anawaogopa mlevi analogwa kwa sumu tu.

duh, mzee hii issue ya chura kuvalishwa kama hirizi hii, umefumbua akili sana bro... ubarikiwe asee...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waganga wanatudanganya sana wajinga ndio waliwao.Kuna kemikali inaitwa potassium permanganate ina rangi ya zambarau.Mganga anachukua chumvi yake anachanganya na pumba anampa kuku uliyemleta wewe.Anasoma madunguri yake kisha anakuambia mchinje kuku mwenyewe.Ukimpasua utumbo wote na firigisi ndani unakuta rangi ya zambarau anakuambia hii rangi ni uchawi ulitumiwa wewe kisha unampa mbuzi anakula yule kuku na mbuzi uliyempelekea.
Sijawahi ona mganga akimuambia mteja niletee mchicha.Uchawi ni sayansi kiasi flani.
Tumfuate YESU na MUHAMMAD hutasikia haya.Ila angalizo hata huko kwenye wokovu nako muende kwa uangalifu kuna manabii wa uongo wapiga dili siku hizi.
duh, mzee hii issue ya chura kuvalishwa kama hirizi hii, umefumbua akili sana bro... ubarikiwe asee...

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasalaam wanajamvi.

Katika pita pita za hapa na pale, katka kusaka maarifa, kuna kitu nikakutana nacho.

Kuna jinsi ya uchumaji fedha kichawi. Kuna dawa huandaliwa kisha mchawi huyu huchanganya na damu yake mwenyewe.

Baada ya siku chache mchanganyiko wa ile dawa na damu, huoza na kutengeneza funza. Sasa siku ya kwanza funza wale wanapoanza kutokea huwabatiza jina

Mfano "kuanzia leo, wew ni konki". Ulimi huumba, na huwaita hivi kwa siku kadhaa. Kisha wale funza hupokea jina hili.

Kifuatacho ni kuanza kufanya madawa na kuwa tuma funza hawa kimazingala, waende wamvae mhusika.

Kumbuka hapo anakuwa ametengeneza, roho ambayo itakuwa inateka utashi wa mtu.

Sasa, ataita hiyo roho ataiambia kamvae, GOBOKA. Sasa huyu mtu ataingiliwa na hiii roho, kama Virus kwenye computer. Hawatamsumbua kabisa, maana si kazi yao.

Kazi yake sasa.

Imetokea siku huyu mchawi anataka kitu kwa GOBOKA. Atampigia simu au kumtafuta uso kwa uso, mfano njiani/ nyumbani kwake. Kisha ataita KONK (ule uchawi aliopandikiza). Ile roho ndio itachukua nafasi na kufanya yale yatayosemwa, bila muhusika kufahamu au kutaka.

MFANO:

Mchawi: Konk
(Goboka utashi wake utatawaliwa, ambae ataitika ni roho iliyopandikizwa)

Konk: naaaam

Mchawi: nipatia elfu 20 hapo
(ataingiza mkono katika mfuko atampa, kama hana atatafuta namna au hata kufata ndani alikoweka)

Kishaa jamaa huyo atasepa zake. Ndio hapo sasa GOBOK akirudiwa utashi atajikuta ana laki na 30, elfu ishirini haipo.

Utajisachi wee kujua ulipoweka hakuna. Utafikiria uliponunua na kupita huoni hesabu, unaweza hisi hata mkeo kaiba, ugomvi utaanza

So kila muda ukifika, akijisikia lolote kukutuma anaita uchawi wake tu.

Make sure una nguvu inayokulinda

Jesus ni dawa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hivi kwani hayafanyi kazi bank?...
Nataka nimtumie gavana makonk anichotee mzigo wote pale hazina!!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Uzi wako umekaa kishirikina lakini mwishoni umemaliza vizuri mno nikafurahi.
Jesus ni dawa.Ukiwa mcha mungu sana shetani anakuwa kama anaungua moto.Ni vigumu kumloga mcha mungu kwa dini zote za Ibrahim.Watu wanaoamini ushirikina sana kuwaloga rahisi sana hata kama wewe sio mchawi.Mfano mchukue chura mshonee kitambaa cheusi kama hirizi weka mlangoni kwa muumini wa ushirikina ataona asubuhi hirizi inapumua atakwenda kwa mganga akija mganga atamwagia ile hirizi inapumua mafuta ya taa atawasha moto yule chura ndani atakufa.Atamuambia mteja wake ungeruka ungekufa hapo hapo.Hapo hofu itamuingia mtu atakuwa amelogeka tayari.
Sasa sikiliza hii kali mlevi wa pombe na bangi ni vigumu kuwaloga vile muda wote wamelewa hata shetani anawaogopa mlevi analogwa kwa sumu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kweny mlevi. Umepotoka, humjui shetani vizuri. Some times anaweza mpotezea maan anajua ni mdau wake tayari. Pia walevi washakutana na visanga, wenyewe wanakwambia hadi pombe ilikata. Fanya tafiti upya mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom