Chuma Ulete: Ni kweli ipo? Ipi dawa ya kuidhibiti?

Kama hao chuma ulete wapo kwanini wasiende bank kuchukua hela tena nyingi . Baadala ya hizo elfu elfu za samaki
bank zimezindikwa, lakini watu wanachukua hela vilevile,,hivi wale wapemba mihela waliyoimwaga pale ilala wameitoa wapi wakati kule kwao hakuna rasilimali za maana.
 
Hakuna kitu kama hicho mkuu acha imani hiyo kama ingekuwa ipo mabenki yote yangekuwa hayana hata senti tatu.
.
Tengeneza daftari ya kila unachokitoa, kukipokea n.k hutokuwa na imani hiyo tena utaanza kuwaona ni wapumbavu tu wanaozungumzia chuma ulete.
 
Jina la Yesu bila imani ni kazi bure!! Lazima uwe MSAFI kiroho ndiyo umwite Yesu ili akusaidie; wengi tu wachafu no mwili na kiroho; sasa haya mapepo wakati unaomba yanakuzomea tu.
Mtu anajifanya anategemea roho mtakatifu wakati ndio bingwa wa kufukua mitaro😅 watanzania tu wanafiki sana!
 
KakaAliacha na Kaz akafungua maduka ya nyama yaliomkuta acheni anashinda kila sehemu kusubiri miujiza B
AAAA
 
Back
Top Bottom