CHUMA CHAKAVU: "Mishangazi" Mjini

Hakuna njia ya mkato kutoboa kwenye maisha.Vijana wanajichelewesha wenyewe na generation zao. Uvivu ni hatari sana
Kabisa vijana wanaona maujanja kujiokotea skrepa la mwaka wa 47, na kuachwa ndani wanacheza Ps na wanaona maujanja , wakati kiukweli hiyo mikangafuu ya mwaka wa 47 ina kula nguvu zao za uchapa kazi tu🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…