CHUMA CHAKAVU: "Mishangazi" Mjini

Huyu Dad kwa miaka 30 kuita mshangazi hii ni chai 😁

Hongera kwake binti kiziwi nilimuona selfika ni mrembo na nusu😍

Maana ya T 3
1. Titi/Ziwa /nyonyo liwe limejazia
2. Tumbo liwe kubwaa
3. Tako / kalio /kigoda liwe la haja
πŸ€” Ujue nilikuwa najua hii ID ni mpya! πŸ˜…

Ila nikawa nashangaa namna you speak my mind muda mwingi kwenye comments, mara nyingi our thoughts are the same 🫢🏻
 
Umri sio kigezo cha kupewa Cheo cha Ushangazi.

  • Gari (Sio unapanda Daladala)
  • Pesa (Mtonyo wa maana)
  • Mwili.. (Sio ukienda kupima una kg 50 kama Kuku)

* Nafasi za juu ktk ajira yake (CEO , Director , Manager etc) anatakiw ni mtu wa kufanya maamuzi..

Tuanze na hizo kwanz
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…