Kwa waume ndembendembe ni sawa lakini waume wa shoka enzymes lazima wafurahieHuo ugali ulivyokomaa kama zege, lazima enzymes zifanye mgomo kwa saa 24.
Jeshi la m2tatu au m23Karibu tuendelee pande hizi
View attachment 390492
Nimetamani sana hii kitu mpaka niende kijijini kwetu ndio naweza kula hivyo, tena usiombe kuku huyo akapikiwa kwenye chungu anakuwa mtamu balaa.