Chukuchuku

Chukuchuku

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,070
1472552198472.jpg
 
Huo ugali ulivyokomaa kama zege, lazima enzymes zifanye mgomo kwa saa 24.
 
Eeeeh bwana eeeh!
Mimi hilo chukuchuku tu [emoji39][emoji39][emoji39]
Halafu kitu cha kwiyo kinaonekana cha kienyeji hicho...Uwiiiiii!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We cheka tu, siku zikifanya mgomo na maandamano yasiyo na ukomo kwa saa 24 we unasiki btruu...bulu bulu huko tumboni ukidhani ni minyoo au gas kumbe ni nyimbo za maandamano ya enzymes yanayo anzia kwenye stomach hadi rectum😀😀😀😀.
 
dah! huku kutamanishana... wengine nyama kula mpk sikukuu kwanini mnatuweka majaribuni..?
 
Back
Top Bottom