......Wale watoto wakaendelea kushindana kumpiga chura mawe, kila wakirusha mawe na mmoja wao kumpiga au kumkosa chura basi walicheka na kufurahi Sana, wakaendelea kumlenga chura shabaha kila wakati chura akijitahidi kukwepa na hatimae kuanza kuvuja Damu, kwa upole na Kwa maumivu MAKUBWA SANA chura akanyanyua kinywa chake akawaambia wale watoto "FURAHA YENU NDIO MAUTI YANGU" . Tujitahidi Sana "FURAHA" Yetu isiwe Mauti au maumivu kwa Watu wengine. 😭😭😭