PistolGang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2013
- 392
- 44
Mpo wanatekno?. Ebana kwa wale walioikimbia voda nakwenda airtell au wap kungne vile na kuweka zile moderm za voda kapuni. Chukua hii 10,000 unigeie iyo kitu. Njoo PM

Ha si utapata hasara?, ni bora ungeenda Dukani maana ni elfu tano tu. Au bora uombe tu ili watu wakusaidie bure.
Mpo wanatekno?. Ebana kwa wale walioikimbia voda nakwenda airtell au wap kungne vile na kuweka zile moderm za voda kapuni. Chukua hii 10,000 unigeie iyo kitu. Njoo PM
Mpo wanatekno?. Ebana kwa wale walioikimbia voda nakwenda airtell au wap kungne vile na kuweka zile moderm za voda kapuni. Chukua hii 10,000 unigeie iyo kitu. Njoo PM
duuuuh elfu arobaini?mi ninayo inayoingia line zote, ongeza 40,000/= nikuachie.
duuuuh elfu arobaini?
mi ninayo inayoingia line zote, ongeza 40,000/= nikuachie.
Aaaaa mkuu, duka gani tena? hahaaa.
Mjomba, inaonekana upo mbali sana na dunia, mbaya zaidi wkt huu dunia ni kijiji, je ingekuwa miaka hiyo?
hata dukani ipo chini ya hiyo bei yako!
Mjomba, inaonekana upo mbali sana na dunia, mbaya zaidi wkt huu dunia ni kijiji, je ingekuwa miaka hiyo?
hata dukani ipo chini ya hiyo bei yako!
duuuuh elfu arobaini?
Mpo wanatekno?. Ebana kwa wale walioikimbia voda nakwenda airtell au wap kungne vile na kuweka zile moderm za voda kapuni. Chukua hii 10,000 unigeie iyo kitu. Njoo PM
Nina huawei EC-122 njoo uchukue kamanda
Yep ni Zantel kaka, jamaa kasema ana Buku 10 nimeona si vibaya nikamuuzia hii coz hawezi pata nyingine kwa hilo dau lake ukizingatia kwamba voda inakimbiza mbayahii si ni ya zantel?nipe feedback niifuate
Yep ni Zantel kaka, jamaa kasema ana Buku 10 nimeona si vibaya nikamuuzia hii coz hawezi pata nyingine kwa hilo dau lake ukizingatia kwamba voda inakimbiza mbaya
Nina huawei EC-122 njoo uchukue kamanda
Modem dukani zinaanzia 30,000, sasa kama unataka ya mtaani kwa 10,000 hauoni kama ni sawa na mtu kukupa bure.
hii si ni ya zantel?nipe feedback niifuate