Chukua huu mkwanja, nahitaji moderm ya vodacom used.

Chukua huu mkwanja, nahitaji moderm ya vodacom used.

Mkuu, hukunielewa, mi nilikuwa nam-joke tu. Anataka modem ya 10,000/= we unaona ni akili kweli hizo?, na je modem mpya universal zinauzwa bei gani?.

Univesal wanauza iyo iyo 30,000/=. Kingine, asa unamtania nani?, kwan mim natania?, acha zako ww wa bush nin!.. mjini tunanua vitu kwa robo ya bei halisi bila utata we unapagawa.
 
umeuza tayari
Nishaiyeyusha ila nina nyingine ya CDMA ni ZTE AC-2746.
Kama kuna miaujiza ya kutumia hivi vidude bila shida hebu nistue maana kule kwetu inajidisconnect kila baada ya dk 10 ingawa ina auto connect option but inawafaa wale wa kusurf
 
mkuu hiyo kuna jamaa amenambia kuna soln yake so find it out
 
Back
Top Bottom