Mwanaume.
1. Kuwa adimu, usipatikane kila sehemu.
2. Kuwa na LOGIC, usiendeshwe na HISIA.
3. Jua unataka nini, usiwe mfuasi na shibiki
4. Kuwa na mipaka, sio kila mtu ni wa waku-engage nae.
5. Linda attention yako, sio kila jambo nilakufatilia.
Being MAN isn’t easy.