Chukua Code kijana

Chukua Code kijana

Mwanaume.

1. Kuwa adimu, usipatikane kila sehemu.

2. Kuwa na LOGIC, usiendeshwe na HISIA.

3. Jua unataka nini, usiwe mfuasi na shibiki

4. Kuwa na mipaka, sio kila mtu ni wa waku-engage nae.

5. Linda attention yako, sio kila jambo nilakufatilia.

Being MAN isn’t easy.
Hizi ndio codes zangu ofisini(maeneo ya kazi). Hakuna anayemfahamu kabisa and it brought me a peaceful mind kwa sababu drama nyingi zinatokana na kufahamiana maofisini?
 
Ukisema twende Kwa Logic, basi wanaume Kwa pamoja mambo ya Dini tuwaachie wanawake.
Dini na Logic viko mbali mbali
 
Back
Top Bottom