Chuki ni nini hasa

Matarajio yanapo tofautina na matokeo ndio chuki huzaliwa
 
Matarajio yanapo tofautina na matokeo ndio chuki huzaliwa
Nilijua matarajio yasipokua ulivyotarajia nilidhani utavunjika moyo tu bila kuongezea na chuki juu
Vp kwa wale wanaochukia watu hata wasio wafahamu vizuri?
 
Kuna jamaa niliwahi kuambiwa kuwa kila akiniona tu ananisema kuwa "huyu jamaa (Mimi) simpendi namchukia"

Mbaya zaidi simjui na yeye hanijui. Yaan ndan ya wiki tu tangu afike akawa ananichukia.

Akaulizwa kwa nini anasema anajiona, ana kiburi na dharau!
yaani vile upo kimya, sio muongeaji, hukai kwenye vijiwe vyao wanakuona unawadharau kumbe uko poa sana!

Binadamu bwana!?
 
Chuki huitwa resentment

Inasababishwa na unsolved conflicts .

Unaweza usimpende MTU with no reason ila ni nadra umchukie MTU with no reason

Mfano Kuna watu wananchukia Rais ila deep down Kuna unsolved conflicts
 
Sasa mtu kama huyu tukisema ni mgonjwa tunakosea ?
Kwanini anataka uwe kama anavyotaka yeye kwamba lazima uwe unacheka cheka hovyo ili uonekane ni humble
🙌
lakini mpka hapo unaona tayali ana sababu za kukuchukia ambazo ni za kipuuzi mno
 
Ukiona mtu anateseka au kuanza kufuatilia nani anamchukia au nani anamsema vibaya,ujue mtu huyo ndio mwenye tatizo,

Just live your life,huwezi kuibadili nature ya wanadamu.
 
Ukiona mtu anateseka au kuanza kufuatilia nani anamchukia au nani anamsema vibaya,ujue mtu huyo ndio mwenye tatizo,

Just live your life,huwezi kuibadili nature ya wanadamu.
Karibu rafiki I'm happy to see you ☺️
Hakuna anaetaka kubadili nature ya mtu 👍
 
Yote yanaangukia kwenye matokeo kinyume na tarajio.
Ngumu sana kumchukia yoyote usie tarajia chochote kwake
Kwahiyo hapa ni tusiweke matarajio kupita kiasi ok 👍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…