Chuki kupona ni kuacha kuchukia unachokichukia kwa ninavyoona mimi huenda wanasaikolojia wa Jf Watatupa mbinu zaidiKweli kabisa chuki ikitolewa njee inaleta maangamizi 😢
Swali ni vipi mwenye chuki atapona hilo gonjwa hatari?
Kuna watu wenye chuki hata humu huenda wakapona
Asante kwa maoni yako🙏Chuki kupona ni kuacha kuchukia unachokichukia kwa ninavyoona mimi huenda wanasaikolojia wa Jf Watatupa mbinu zaidi
Tuendelee kujifunza
Na vipi umegundua kuna mtu anakuchukia au ?
Mtu akiangalia tu id au mwandiko wako anachukia? Hahaha aloooh! 👌🏽
Hiyo nayo ina kaubinafsi ndani kuona wewe unastahili kila kitu na kutokubariYeah!
Mfano Mimi nikikuomba uwe mchumba wangu. Ukakataa kwa hiyari yako na sababu unazozijua wewe. Mimi nikijipa kustahili kuwa na wewe. Nitaanza kujiuliza kwa nini unikatalie wakati ninastahili kuwa na wewe. Ni haki Yangu kuwa na wewe. Nitaanza kukuchukia.
Wewe nae kukuchikia ni kazi sana 😂😂😂😂 wenye vipilipili nao wana watu wao wasibezweWakati tunaogelea kwenye mto weruweru pale Kilimanjaro tukiwa uchi wa mnyama nilishangaa ghafla kuchukiwa na wenzangu karibia wote na sikujua tatizo ni nini.
Baada ya kufanya utafiti wa kina nikaja kugundua kuwa kumbe Mimi nina dushelele refu, nene, na refu huku wao wakiwa vibamia na vipilipili mbuzi.
Ili kuwakera zaidi nikaanza kuimba ule wimbo wa Dully Sykes,
eti, "...Upana, biggie
Urefu, biggie
Unene, biggie
Uzito, biggie...".
Kwanini mpaka chuki yako haitoshei kwenye kipomo😢Kama chuki niliyonayo kwako mleta mada, haipimiki!
Ni nyingi mno, haielezeki! Ila sina sababu, nakuchukia tu!!Kwanini mpaka chuki yako haitoshei kwenye kipomo😢
Sasa hakuna namna ya kudhibiti wivu usigeuke chuki?Chuki ni suala la asili, ni hisia mseto ya asili, inakuja tuu kwa asili kama kulia, kucheka, kutabasamu, kupenda n.k
Chuki sio lazima iwe na sababu ya msingi. Chanzo chake kikubwa ni husda/wivu.
Mimi sioni sababu unichukie tuanaweza kua marafiki wazuri ukitaka😍Ni nyingi mno, haielezeki! Ila sina sababu, nakuchukia tu!!
Siwabezi lakini nilishangaa kwa nini walinichukia kisa muhogo niliopewa na mungu?Wewe nae kukuchikia ni kazi sana 😂😂😂😂 wenye vipilipili nao wana watu wao wasibezwe
Chuki yao haikupunguza chochote si ndio sasa hapa tunawatafutia dawaSiwabezi lakini nilishangaa kwa nini walinichukia kisa muhogo niliopewa na mungu?
Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake bhana!
Sasa hakuna namna ya kudhibiti wivu usigeuke chuki?
Ilipunguza idadi ya mademu walionikubalia, kwa sababu wale jamaa walienda kunitangaza mtaani, kuwa namiliki mguu wa mtoto chini ya kitovu, eti ningeweza kuwaharibu watoto wa watu.Chuki yao haikupunguza chochote si ndio sasa hapa tunawatafutia dawa
Wapone hayo maradhi ya husda
Yooo kumbe chuki ni kirusi kiasi dawa yake ni ngumu kupatikana 😢Husda/wivu unakuja kwa asili na hupelekea chuki kwa asili.
Ni hisia mseto ya kiasili, kuidhibiti kwake inategemea na kiwango cha hekma cha mtu na kiasi cha sababu inayomfanya apate wivu huo.
Pole sana hope now uko sawaIlipunguza idadi ya mademu walionikubalia, kwa sababu wale jamaa walienda kunitangaza mtaani, kuwa namiliki mguu wa mtoto chini ya kitovu, eti ningeweza kuwaharibu watoto wa watu.
Nilihama mkoa na sasa Niko sawa mkuu.Pole sana hope now uko sawa
Yooo kumbe chuki ni kirusi kiasi dawa yake ni ngumu kupatikana 😢