ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 6,923
- 16,733
Hello guys 👋 name Shesrise🫰
Watu wengi tunasema chuki, lakini je, tunajua hasa ni nini?
Je, chuki inazaliwa ndani ya mtu au inajengwa kutokana na mazingira, maumivu, na uzoefu wa maisha?
Wengine wanasema chuki huanzia kwenye majeraha ya moyo, wengine wanaona ni wivu, hasira au kukosa msamaha.
Lakini swali linabaki: chuki inatoka wapi hasa?
Nini kinasababisha mtu msiefahamiana kwa undani au hata kukujua vizuri, hakujui na kisha anakujengea chuki?
Imewahi kukutokea mtu akakuchukia na hata ukagundua? Ulichukuliaje?
Chanzo cha chuki ni nini hasa?
Karibuni tujadili, kila mtu kwa mtazamo wake 🙏🔥