Chuki na UDSM hakuna aliyekutuma Ufeli

Bado mnaendelea kubishana kuhusu vyuo..?! Aaaah nilisahau bana kumbe huu ndo msimu wake..[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 

Divisheni one zipo lakini ni chache sana.

Mtu aliepata one huchagua vyuo vingine ikiwa Udsm hakuna Kozi anayoitaka kusomea.

Pia bandiko langu limebeba ujumbe wa kuwa kama umefeli usihangaike kulaumu kwa nini hukuchaguliwa Udsm.

Mbona hata Rais wako hilo analijua na kuliheshimu
 
The end justifies the means....
Pita west nipite East jambo la msingi tufike tunakotaka kufika...
Mwenzako mimi hata chuo sijafika ndugu nimepoteza mapena hata kabla ya pambano
[emoji2] [emoji2] [emoji2]

Jifariji mkuu.

Pita huko nipite huku ila mpaka sasa pambano moja umepigwa vibaya mno
 
Ni kweli mkuu, mana hata hapo udsm kuna watu wameenda tumekaa nao class moja na tulikuwa tunakimbiza vzr tu, lkn first choice zetu hazikuwa udsm japo kusoma udsm ni vzr ila kutokusoma pia hakupunguz maarifa...!!!
 
Mada nyingine za kitoto alafu bado unapata pata ka boom basi unaweza anzisha mada ya hivi, ngoja umalize uanze kuzunguka na bahasha
Nimalize chuo kipi tena mkuu. Nimeshamaliza hilo pambano kitambo.

Hujaona nimeandika nina biashara yangu
 
Chamsingi wasikate tamaa udsm ipo wataenda hata kuunga bando la chuo. Hayo tu [emoji1492][emoji1492]
 
Huu ndio msimu Mkuu. Karibu katika vurugu za chuo
 
mweka college of wildlife naona cha maana hata kuliko hiyo UDSM
Hata zoom ni nzuri inategemea na malengo ya mtu. Mfano kuna kazi nyingi za usekretari Nimeiona wanarecommend uwe umesoma magogoni pale ss kama ulisoma chuo kingine sijui inakuwaje
 
Hata zoom ni nzuri inategemea na malengo ya mtu. Mfano kuna kazi nyingi za usekretari Nimeiona wanarecommend uwe umesoma magogoni pale ss kama ulisoma chuo kingine sijui inakuwaje
wamekariri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…