Hodi hodi jamani jamvini naingia
salam natoa kwa wote mliotangulia
JF ndio makazi mwanajamii kwangu mwana kiwia
Sihitaji kuazima jamvi kwani sina wa kumlilia
Ninachotaka ni mada za moto kuchangia

Karibu sana SC jisikie uko nyumbani kabisa. Kwenye hiyo friji nyuma yako kuna vinywaji vya kila aina ikiwemo Togwa π jisikie huru kuchangamkia kinywaji ukipendacho, lakini hiyo avatar yako niaje!!!? karibu sana