Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,430
Buji Buji huyo jamaa anakuja kufanya biashara USA, NENO LA MUNGU NI COVER tuu,Wakati fulani alikuja Stockhom Sweden akakusanya wabongo kibao kwa cover hiyo hiyo.Mwishowe akachukua contact mbali mbali na kumkaribisha mtu mmoja mmoja kujadili namna gani angeweza kumtumia katika biashara yake.:confused2:
Hivi ni raia wa nchi gani?Hivi Kakobe aliendaga wapi? Simsikii wala kumuona luningani these days.
Buji Buji huyo jamaa anakuja kufanya biashara USA, NENO LA MUNGU NI COVER tuu,Wakati fulani alikuja Stockhom Sweden akakusanya wabongo kibao kwa cover hiyo hiyo.Mwishowe akachukua contact mbali mbali na kumkaribisha mtu mmoja mmoja kujadili namna gani angeweza kumtumia katika biashara yake.:confused2:
Hivi ni raia wa nchi gani?
Umaarufu wake siku hizi kwishey kabisa
Buji Buji huyo jamaa anakuja kufanya biashara USA, NENO LA MUNGU NI COVER tuu,Wakati fulani alikuja Stockhom Sweden akakusanya wabongo kibao kwa cover hiyo hiyo.Mwishowe akachukua contact mbali mbali na kumkaribisha mtu mmoja mmoja kujadili namna gani angeweza kumtumia katika biashara yake.:confused2:
MAELEZO ZAIDI: Wasiliana na /Reading Lillian 07846700927, Birmingham-07776358464 Jackson Kapama, London 07817479845 Elias Mwema, Milton Keynes, 07787357618, Jane maneno,-Brighton,07950324330 Joyce Jacob. Southampton 07717435287 Sekela Komba
Tafadhali tunawaomba kushiriki baraka hizi kwa kuchangia mkutano huu kwa hali na mali
Kwa watakaoguswa kutoa, tunaambatanisha akaunti ya bank
Account Name Association of Tanzanian Christians in Europe (ATCE)
HALIFAX BANK
ACCOUNT NO 00989146
SORT CODE 11-07-47
07944632826./ Rev, Emmanuel Chatawe-Mwenyekiti
07776358464/Jackson Nkwabi (Katibu Mkuu)
KARIBUNI WOTE.
kwa huduma yake anapenda awe maarufu kuliko kanisa lake . KKKT angalieni sana
Anauza Biblia?
Au ana biashara gani mkuu? Naomba utujuze
Buji Buji huyo jamaa anakuja kufanya biashara USA, NENO LA MUNGU NI COVER tuu,Wakati fulani alikuja Stockhom Sweden akakusanya wabongo kibao kwa cover hiyo hiyo.Mwishowe akachukua contact mbali mbali na kumkaribisha mtu mmoja mmoja kujadili namna gani angeweza kumtumia katika biashara yake.:confused2:
Jama kaamua tu kumchafua MwakasegeFunguka basi tunasubiri
Wanadamu ndivo tulivoJama kaamua tu kumchafua Mwakasege
umeona ehhWanadamu ndivo tulivo