mmbangifingi
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 2,839
- 567
Jana clouds fm kwenye kipindi cha sports xtra nilisikia kama wanamwongelea mchezaji wa zamani christopher alex anaumwa na anahitaji msaada. Ni huyu alex aliyecheza simba wakati flani? Anaumwa nini hasa?