Christimas wishes from my x

It happened to me as a man. Nilimdisi mdada mmoja kwa sababu ya ujinga wangu by then, nikamchanganya sana afya yake ikayumba kweli na mpaka ACSEE akaambulia ziro japo ni kichwa kweli, akanichukia sana tena sana sana.Nikaendelea na maisha akaendelea na maisha.Baada ya kujifunga kwa mdada mwingine, those feelings za kwamba ingekuwaje ningekuwa na wa awali daima zinanitesa(KWA HAKIKA MAMBO YANGEKUWA TOFAUTI)! Then one day, after five years bila mawasiliano naye, she called. Kwamba amenisamehe, kwamba she wishes she was married to me,kwamba she is just married as part of life, but it is me she loves! Wandugu, niliumia sana na kufedheheka kweli. Halafu mbaya zaidi, mmewe anafanya kazi nje ya TZ, mke wangu anafanya kazi mkoa mwingine, na mimi na huyu dada tuko mji mmoja! Tumebaki kujiuliza kwa nini, WHY? JE ILIMAANISHWA TUISHI PAMOJA?
Nimalizie kwa kukusihi mpendwa, mapenzi yanaitwa mapenzi kwa sababu.That man is your sadness kwa sasa, lakini huenda ndio furaha yako ya kweli duniani. Usijifiche,usione aibu, wellcome him back kabla hujachelewa.Usijidanganye unaweza kuyaviza mapenzi hivi hivi, utaishia kujiumiza na kujidhulumu. Go back to him my dear, you gave him your all, it seems, he is ready to give you his all! Ubarikiwe.

-"To love is to risk not being loved in return. To hope is to risk pain. To try is to risk failure, but risk must be taken because the greatest hazard in life is to risk nothing."-...Sio maneno yangu hayo mbu, nimeya quote tu huko ugenini,...LOL!

Sasa mbona hutaki kukubaliana nasi kwamba jamaa amejipanda vyema kuunza mwaka 2012 kwa matumaini....???

Hayo tunajaribu kumweleza Koku ila hataki kabisa kusikia,

Ngoja kaka yake Bishanga aje naye amsaidie kusoma maandishi yaliyo ubaoni tena kwa font kubwa ambayo inasomeka hata kwa vikongwe wa miaka 100 bila miwani!!

Babu DC

Amechelewa sana. Grace period imeshapita.
Mapenzi yangu kwake yalishatoweka, nimeyahamishia ktk shughuli nyingine productive.
Ameula wa chuya. Namwangalia tu na hizo strategies za kitoto.
 
Amechelewa sana. Grace period imeshapita.
Mapenzi yangu kwake yalishatoweka, nimeyahamishia ktk shughuli nyingine productive.
Ameula wa chuya. Namwangalia tu na hizo strategies za kitoto.

Kumbe kijiti hajakabidhiwa mtu mwingine??

Nipe namba ya huyo jamaa nimpe habari mbaya kwamba aache kukusumbua...LOL!!:eyebrows::eyebrows:
 
Mwambie "You know i dont Miss u anymore and I will NEVER be with you,and Im enjoying my X-Mass without you Kilaza pori"

yote haya ya nni?
kama mtu ametoa wishes tu za kawaida hakuna haja ya kufika huku,
kama amekuboa unaweza kumchunia tu,si kujibu hivi
 
Huu ushuhuda ni wa PLATNUM level,

Huyu Koku akae chini atafakari na kuusikiliza moyo wake.....Hayo mambo ya ku-agonise wakati mtu keshachelewa tumekutana nayo sana tena sana!!

Ila hapo na wewe Kande unatakiwa kuwa mwangalifu sana...Punguza mawasiliano na mke wa mtu tena ukizingatia kwamba mnayo nafasi ya kutosha kufanya dhuluma yoyote kadri mtakavyopenda.

Asante mkuu kwa ushauri. Namshukuru Mwenyezi kwani tumekubaliana kwa dhati kuwa dada na kaka. HAKUNA WASI!
 
Amechelewa sana. Grace period imeshapita.
Mapenzi yangu kwake yalishatoweka, nimeyahamishia ktk shughuli nyingine productive.
Ameula wa chuya. Namwangalia tu na hizo strategies za kitoto.
I see,........
Kumbe mungu ni mwema sana, maana jukumu la kuhukumu mngekabidhiwa binadamu basi pasingekuwa na forgiveness. by the way how old are u young lady?
 
Nakuhic bado unamfeel huyu mvulana!why ikuume hv?ukweli unaujua mwenyewe moyon mwako!otherwise wala hizo wish zake zicngekushuhulisha!km humfeel just potezea endelea na ishu zako,wish na maneno ya mapnz kitu gan bwana km moyon hayupo!
 
Ajitahidi tu atabeba tena mzigo,
ila koku mara hii vaa yale madude ili usikwaruzike utakapoangushwa
 
Maumivu ya kichwa huanza poole pole........!!!

I wish ungeweza kuja kutusimulia huko mbele ya safari!!

Ndoho tabu. Hivi unadhani kama mme wa mtu au mke wa mtu uki-cheat unam-cheat nani? Well, ukweli daima ni kuwa tunaji-cheat wenyewe na sio hao wenza.Nimeshatoka kwenye hilo tope niko huru kweli kweli na labda nikufahamishe tu kuwa kwa mwaka mzima sasa tuko mji mmoja na huyu mdada lakini tunashinda majaribu. Una swali uulize?
 
Duhh Mimi nimesahau. Ngoja niweke reminder ya nyu yia. Nimekamiss kakuku kangu kakienyeji

Aaaaah mzee wa mchuzi wa mapenzhi ..............Kokutona hajui kwamba nia ya msg ni kuhamsha hisia na kumwacha awe anamfikiria mshikaji hadi ameandika uzi huu.

Kinachofuata nimekusamehe lakini sitokusahau.........watu wanaendelea kula ma-apple.
 
Naamini Koku atasoma hii post...La sivyo nitamtumia kwa telegram!!

Ndo maana toka mwanzo tumemshauri kwamba aache kujiapiza, badala yake ajipe muda apone kabisa...Baada ya hapo ndipo atajua kama bado ana nafasi ya kumpa huyo Ex BF wake ambaye alimtenda au la...

Na si ajabu, Koku alichukulia hasira na hakutoa nafasi ya kumsikiliza mtuhumiwa. Labda ndo maana jamaa anaitafuta hiyo nafasi kwa nguvu zote!!

Kwa hawa wadau wetu,....huwa siamini kama wanaweza kushinda persistent pressure, kama vile ambavyo sie hatuna uwezo wa kuhimili nguvu ya machozi yao!!

Nimeisoma babu, yani majua kuchombeza nyinyi. Mnaweza kumuingiza mtu mkenge hivi hivi.
Miezi 6 babu ni mingi na yakutosha kujitafakari.

Alinitenda wala hakuwah kuomba kusikilizwa wala kunisikiliza babu. Na akaamua kupiga kimya, niilijipendekeza pendekeza siku za mwanzo, though yeye ndo alikuwa na makosa but, ndo km nilikuwa nimeweka petroli.
Nikaanza kuminvestigate zaidi bila yy kujua. I see, Noooomaaa babu.

Niliinua mikono juu.
 
It happened to me as a man. Nilimdisi mdada mmoja kwa sababu ya ujinga wangu by then, nikamchanganya sana afya yake ikayumba kweli na mpaka ACSEE akaambulia ziro japo ni kichwa kweli, akanichukia sana tena sana sana.Nikaendelea na maisha akaendelea na maisha.Baada ya kujifunga kwa mdada mwingine, those feelings za kwamba ingekuwaje ningekuwa na wa awali daima zinanitesa(KWA HAKIKA MAMBO YANGEKUWA TOFAUTI)! Then one day, after five years bila mawasiliano naye, she called. Kwamba amenisamehe, kwamba she wishes she was married to me,kwamba she is just married as part of life, but it is me she loves! Wandugu, niliumia sana na kufedheheka kweli. Halafu mbaya zaidi, mmewe anafanya kazi nje ya TZ, mke wangu anafanya kazi mkoa mwingine, na mimi na huyu dada tuko mji mmoja! Tumebaki kujiuliza kwa nini, WHY? JE ILIMAANISHWA TUISHI PAMOJA?
Nimalizie kwa kukusihi mpendwa, mapenzi yanaitwa mapenzi kwa sababu.That man is your sadness kwa sasa, lakini huenda ndio furaha yako ya kweli duniani. Usijifiche,usione aibu, wellcome him back kabla hujachelewa.Usijidanganye unaweza kuyaviza mapenzi hivi hivi, utaishia kujiumiza na kujidhulumu. Go back to him my dear, you gave him your all, it seems, he is ready to give you his all! Ubarikiwe.

Nimeussoma ushuhuda wako Kande K kwa makini saana.
Kwa nini mnapenda kuwafanyia wenzenu hiviii. Kwa ujinga wako umemfanya mwenzio aingie ktk ndoa asiyoifurahia. Mbaya sana.
Ushauri wako nimeupokea but, it is not that easy. Miracle is needed here
 
[/COLOR]
Kumbe kijiti hajakabidhiwa mtu mwingine??

Nipe namba ya huyo jamaa nimpe habari mbaya kwamba aache kukusumbua...LOL!!:eyebrows::eyebrows:

:lol:, babu umenichekeeshaaaa. NitakuPM nikiikumbuka.
 
I see,........
Kumbe mungu ni mwema sana, maana jukumu la kuhukumu mngekabidhiwa binadamu basi pasingekuwa na forgiveness. by the way how old are u young lady?

Sidhani km nimehukumu. He left me for other women. I decided to stay calm and go on with my life.
Am an adult
 
Ndoho tabu. Hivi unadhani kama mme wa mtu au mke wa mtu uki-cheat unam-cheat nani? Well, ukweli daima ni kuwa tunaji-cheat wenyewe na sio hao wenza.Nimeshatoka kwenye hilo tope niko huru kweli kweli na labda nikufahamishe tu kuwa kwa mwaka mzima sasa tuko mji mmoja na huyu mdada lakini tunashinda majaribu. Una swali uulize?

Mie nimeshasema yangu..Nitakuwa na swali but it will be this time tomorrow!!
 
Sidhani km nimehukumu. He left me for other women. I decided to stay calm and go on with my life.
Am an adult

Hapa sasa ndio unaleta utamu,

Thamani ya kitu unaijua kipokuwa kimekuponyoka...I wish u gave him just a second now......

Ungedhani Jim Reeve amefufuka...kwani ungeimbiwa kana kwamba yeye tu ni kwaya ya watu zaidi ya 50!!

Babu DC!
 
That is the mistake that i dont want to do babu.
Huko alikoamua kwenda aendelee nako, awaimbie hao.
 
Back
Top Bottom