Christimas wishes from my x

KOKUTONA

JF-Expert Member
Jan 29, 2011
8,649
6,088
Jamani baada ya my X kunimwaga, na kutokuwa na mawasiliano nae almost 6 months. Aliniumiza sana sana, kifupi alinitenda. Niliwah kuchangia thread moja nikirefer my experience. Nilishaanza kumsahau kabisaa, and maisha yangu yanaendelea kwa furaha bila mahusiano yeyote.
Eti juzi kanemail the xmas card, na jana kanitext akiniwish xmas na mwaka, mpya.
Is he crazy? Does it make sense?
Anadhani naweza kumwelea?
 
Wewe chukulia tu kuwa ni xmas wish basi. Na kama vipi wewe kaa kimya. Hayo mambo mengine ya yeye kudhani utamwelewa naona kama unaenda mbali sana.
 
Sasa kwani kukutakia heri kuna tatizo gani?Usikuze mambo!!

Lizzy, christimas wishes na maneno ya kimapenzi. "you know i miss you, i wish i to be with you, it is my christimas alone without you". sasa hapo nakuza? Hakuna apology hakina nini as if hakuna kulichotokea baina yetu, and that he hurt me alot.
Anyway nimenignore na sikureply
 
Mwambie "You know i dont Miss u anymore and I will NEVER be with you,and Im enjoying my X-Mass without you Kilaza pori"
 
Lizzy, christimas wishes na maneno ya kimapenzi. "you know i miss you, i wish i to be with you, it is my christimas alone without you". sasa hapo nakuza? Hakuna apology hakina nini as if hakuna kulichotokea baina yetu, and that he hurt me alot.
Anyway nimenignore na sikureply
Sasa siunapotezea tu. . .
 
mpotezee

Lizzy, christimas wishes na maneno ya kimapenzi. "you know i miss you, i wish i to be with you, it is my christimas alone without you". sasa hapo nakuza? Hakuna apology hakina nini as if hakuna kulichotokea baina yetu, and that he hurt me alot.
Anyway nimenignore na sikureply
 
Du!!mbona hi thread ka inanhusu?

Hata mimi kama inanihusu kuna goma moto nililipotezea nataka nirudi kwa step na ndo nimeanza na cristmass wishes na message za uchokozi, what I like jamiiforum ni mwendo wa a.k.a tu usikute kokutona anamwongelea mkata kiu he he he
 
Etiiiiiiiiiii? Khaaaaa?
 
he he he koku kuna times unakuwa umekaa halafu unammis ex wako...it happens bila kupenda..inawezekana it was one of those moments
 
Etiee? May be sbb yeye hakuwa victim of the consequences of his action.
 
xmass wishes ni jambo la kawaida hata hivo kugombana sio kigezo cha yeye kutokukumis
naona kajitafakari kaona ww ndio wa pekee so kama wampenda huna budi kurudisha pendo
watu wanagombana hata mwaka na wanarudiana sembuse hiyo miezi 6 tu? kukaa kimya unamkomoa au unajikomoa? watoto wa jakaya mna mambo? kwa ushauri wangu jibu hizo woshes zake na kama kuna mengineyo mtawasiliana acha utoto bibie.
 
Dont stress your self mamii...pengine kakutumia kukujaribu tu,au pengine he really means it.Either way hukuwa na ulazima wa kujibu au kutokujibu vyote ni choice yako...Otherwise,Just take it easy.. Sijui amekuumiza kiasi gani so pengine it was the right thing to do.
 
Back
Top Bottom