Christimas wishes from my x

Christimas wishes from my x

Lizzy, christimas wishes na maneno ya kimapenzi. "you know i miss you, i wish i to be with you, it is my christimas alone without you". sasa hapo nakuza? Hakuna apology hakina nini as if hakuna kulichotokea baina yetu, and that he hurt me alot.
Anyway nimenignore na sikureply
Sasa kumbe umemignore sasa huku unakuja kutafuta nn?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom