Tanzania Njema Yaja
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 3,041
- 2,417
Kula like ya maandishi mkuu.... na ndo maana JPM peke yake hataweza vunja huu mfumo ulio zoeleka na ambao ni rafiki kwa walio mzunguka, anahitaji sauti ya malaika kuweza pata ufunguo wa fumbo hili..... tatizo ni ccm kuliko mtu mmojaHivi huyu Kabwe hilo jiji la Mwanza alikuwa analiongoza peke yake kiasi ambacho kwenye clinic yupo, viwanja yupo, ferry za samaki yupo....
Hakuwa na wasaidizi? Hakuwa na wanasheria? Hakuwa na Baraza la madiwani? Hakukuwa na RC? haukuwa na maafisa ardhi?
Hivi ni kwa nini tusiseme na kukubaliana kuwa matatizo haya ni zaidi ya kumshambulia mtu mmoja
mmoja tu?
Haiwezekani kamwe na milele haya mambo yafanywe na mtu mmoja kama siyo special organized system!!
Kabwe ni muhanga tu.....tusipumbazane hapa. Ni sawa na Richmond vs Lowassa mwaka 2008, huyu mzee alikuwa ni muhanga tu!
The problem is bigger than we think and it goes beyond one person!!
Mizuka ni hatari sana in sugu's voiceSo sad.....no comment.
Kujiuzulu ni hulka ya watu makini. Kule Europe watu makini hujiuzulu ili kuondoa figisufigisualijiuzulu uwaziri mkuu kwa sababu ya ufisadi wa richmond...huo ni ushahidi tosha
Unajua Mwinyi alishawahi kujiuzulu?alijiuzulu uwaziri mkuu kwa sababu ya ufisadi wa richmond...huo ni ushahidi tosha
Akili fupi watajuaje?Kujiuzulu ni hulka ya watu makini. Kule Europe watu makini hujiuzulu ili kuondoa figisufigisu
Wambea wakimaliza maadui hugeukiana.Serikali hii itajaa vijana sababu wambea,wanafiki na wanajua kujipendekeza sana
Sheria za kazi ndio hivyo zinasema tufukuzane au?Ukishasimamishwa, tena hadharani, eti kupisha uchunguzi, ni umefukuzwa tu, sio mpaka uletewe barua, kuna kiongozi gani wa juu aliwahi kusimamishwa na uchunguzi ukafanyika, kisha akarudishwa madarakani?
Mdogowake MawioHilo gazeti la Mseto linachapishwa nchi gani mkuu?
Akili yako na uwezo wako wa kufikiri ndio shida, sio wewe ni Watanzania wengi wa kiwango chako cha ufikiri, hamjui utawala wa sheria. Kujiuzulu ni ufisadi? Ulishawahi kujiuliza kwanini kwanini aliekuwa anaongoza kamati ya bunge kuhusu Richmond kwanini alisema mengine hakuyasema kwa maslahi ya taifa? Kwa akili tu za kawaida huwezi jiuliza kwanini pamoja na Lowasa kwenda upinzani hajawahi kushitakiwa popote kwa ufisadi wake? Au Serikali inamuogopa? Kama ndio kwanini? Kama hapana kwanini? Acha ujinga.alijiuzulu uwaziri mkuu kwa sababu ya ufisadi wa richmond...huo ni ushahidi tosha
SHERIA ZA AJIRA NA USIMAMISHAJI NA UFUKUZWAJI ZINATAKIWA KUFUATWA HILI HATA KUB ALISHALIZINGUMZIAGAMakonda hana tatizo
Tatizo ni Magufuli
Endelea kusafisha ila ukweli ni kuwa alikimbia aibu ya kufurushwa na wabunge.Ni mdokozi wa mali ya umma.Umesahau kuwa tatizo lilikua ni uwaziri mkuu ile report mbona ilisomwa nusu iliachwa kwa maslai ya nani? Je ni wapi ilisema Lowassa kachukua hela? Wacha mizuka
Siyo Kidogo MkuuUndumi la kuwili unatuvuruga sana wabongo...
Kwa ushaidi upi? Tatizo ni Uwaziri Mkuu watanzania ni werevu sanaEndelea kusafisha ila ukweli ni kuwa alikimbia aibu ya kufurushwa na wabunge.Ni mdokozi wa mali ya umma.
Red=Kuendeleza mema tu (siyo yote)Alifanya mengi sana kwa ajili ya maendeleo ya Mwanza na maeneo mengine alikokuwa akifanya kazi za wananchi kwa niaba ya serikali, hakika serikali imepoteza mtumishi hodari na sisi tutaenzi mchango wake kwa kuendeleza mema aliyofanya Kabwe,” alisema Simbachawene.
Kauli hiyo ya Simbachawene na uteuzi wa kuaminiwa wa Mkapa na Kikwete ni ushahidi mwingine wa kutosha kuwa Kabwe hakuwa “mlaji,” alijitoa kufanya kazi za umma kwa uaminifu mkubwa na kupata fursa ya kutoa mchango wake katika kuendeleza majiji ya Mwanza, Mbeya na Dar es Salaam.
Makala hii imeandikwa katika Gazeti la Mseto la tarehe 26 Mei mpaka tarehe 1 Juni mwaka huu katika ukurasa wa 5.
Hafai kabisa huko Luchelele, kuacha matatizo kwa jamii. Ni Kosa la kujifunza kuwa na wakurgenzi wageni wasio na utu.Asie kujua hakuthamini
R.I.P. Brother Kabwe.
Kazi uliyotumwa umeimaliza.
Wahanga tupo wengi, si wewe peke yako.