chordo

chordo

hii chordo sio jina ya kibangladesh? karib bana! yule Amita bachan bado yuko hai?
 
Karibu sana chordo.
Tangu tumekusubiri ndio unafika sahizi.
 
Unajua maana ya Chordo. Mbona linatia wasiwasi kidogo. Mie sisemi nisije kuambiwa sina adabu. KARIBU SANA CHORDO.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom