Habari za Kuaminika kutoka kwenye vyanzo vyetu vya habari ndani ya ccm kuwa tabia ya chopa ya chadema kutawala anga ya Arumeru imewaudhi wanachama wa ccm na kushauri viongozi wao wafanye wawezavyo walete chopa mbili kujibu mapigo ya chadema maana chopa yao inatutesa sana hapa Arumeru.Habari hizi zimetoka ndani ya ccm na aliotoa habari hizi ameomwa asitajwe jina lake.