Choose a dedication to your beloved jf member...!!!

Khaa!
Kumbe Mashaxizo na Mwekundu wanagundu ee?
Haki ya Mungu ma ticha nimecheka sana!
Nimeona sehem nyingi nikitajwa na Mwekundu!
Hahahahahaaaa!
...
Mimi kwako ile ya kunywa nanii pamoja! Nashangaa hakutuwekea!!!
 
Last edited by a moderator:

ha ha ha nimependa hapo tu penye lunch date
 
Kaka mkubwa vijiwe vyetu vipo karibu lakini sijui kwa nini hilo halitokei...😕

Ngoja nifukunyue namba yako nikupigie tukutane central police...

Khaa!
Kumbe Mashaxizo na Mwekundu wanagundu ee?
Haki ya Mungu ma ticha nimecheka sana!
Nimeona sehem nyingi nikitajwa na Mwekundu!
Hahahahahaaaa!
...
Mimi kwako ile ya kunywa nanii pamoja! Nashangaa hakutuwekea!!!

Sio gundu..ni vile nyie kila siku mnafurahia kuwa single..mi nmechoka na kila siku mama ananiuliza wajukuu lini!

Apo unaongelea jani au mbege!??

ha ha ha nimependa hapo tu enye lunch date

Shhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh #kimyaKimya mkuu!!!
 
Sio gundu..ni vile nyie kila siku mnafurahia kuwa single..mi nmechoka na kila siku mama ananiuliza wajukuu lini!

Apo unaongelea jani au mbege!??

Akuna kitu kitamu kama mbege duniani! Hata Manka simtaki tena!
...
Tena mbege la mujini!
Naddhani unalijua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…